Tatizo wewe inaonyesha upeo wako mdogo. Haiwezekani hata kidogo na wala haitawahi tokea Engineer awe sawa na fundi anayejenga kwa matofali mtaani au anayefanya wiring za umeme . Inaonyesha wewe una chuki binafsi na fani za watu. Engineer atabaki kuwa Engineer na fundi atabaki kuwa fundiKwa tz engineering ni sawa na fundi wa kawaida tu wamtaani au hata zaidi so huwezi kunfananisha hata kidogo na doctors ila kwa mbele kama europe, america na asia ehao ndo kweli huwezi kucompare na doctors wako creative sana hapa bong wameshawahi kucreate kitu gani bora hata wale wanaotengeneza majiko na masufuria mtaani kuliko ma engeneer jina
Dogo sijakuelewa lengo lako ni nini kufanya comparison ya watu ambao wako fani tofauti.Kila fani ni nzuri awe mwalimu,doctor,Mhasibu au Engineer inategemea wewe unapendelea nini.Huwa tunasema tu mara nyingi Doctor Fulani ni mzuri kuliko Doctor Fulani labda kwa upande wa kinamama.watoto n.k. Pia huwa tunasema Engineer Fulani ni mzuri sana kwenye mambo ya Automation au Design nk kuliko Engineer Fulani, Au tunasema Fulani ni mzuri kwenye mambo ya IT SECURITY kuliko fulani. Huwezi kumlinganisha Engineer na Fundi wa VETA. Fundi atabaki kuwa fundi na Engineer atabaki kuwa Engineer.
Ndugu.Kwa mtazamo wangu tu aliyeanziaha mada inaonyesha bado ana ufahamu mdogo na masuala ya taalamu za watu sana sana kama amesoma mwisho kidato cha nne.
Hee semi God? mbona sasa wanaacha tunatawaliwa na wachanganya sifongoGuy, you're so funny..........dont you know that medical students are semi God?????
huyo jamaa wa pharma kinetic ni hatari. mie najua kuna Pharmacokinetics ambalo ni somo la drug absorption, distribution, metabo- lism, and excretion.Ndugu.
JF chochote kinawezekana.
We ushangai kuna jamaa yeye ni muhandisi na sasa anasomea udaktari.
Kwa kutuzuga sie mambumbumbu akagusia pharmakinetic na pharmadynamic vitu ambavyo anavifahamu yeye mwenyewe alipovitoa maana hata kwenye google havipo.
Hivyo usishangae sana huu mdahalo.
Teeh!huyo jamaa wa pharma kinetic ni hatari
Ndo maana knowledge ya physics ni muhimu kwa madaktari.Swala la creativity ni an individual thing, ku~generalize kwenye groups alafu ukasema medical students vs engineers unajaribu kucompare apples to oranges. Hawa watu wote wawili wapo creative kwenye fields zao kivyao, wapo so different but still wanategemeana sana, doctor atamtibu engineer, engineer atatengeneza tools ambazo doctor atatumia, bila engineers leo hii medicine hata appendix wasingeweza kuitoa.
TANZANIA HAKUNA MAENGENEERING KUNA MAFUNDI REPAIR TUukiachana na faults zinazokuwa detected by electronic method,,kuna zingine physically mechanical engineer hawez kutambua kwani anakuwa oriented kwenye madesa tu....I didn't say that engineering doesn't require intelligence lakin unaweza kuwa intelligent darasani lakini bado hata kufunga wiring ya ghorofa tatu unashindwa kuna jamaa kasoma COET alikutanishwa na madogo wa VETA akachemka kupandisha maji juu ya nyumba yenye floor ya nne maeneo ya Mbezi Africana...akatokea dogo tu wa mtaani yaan bei ya mkaa hajapita hata VETA katumia utundu tu wa kaka yake aliyesoma VETA akayapandisha ....
even though I agree that generally engineers may be slightly smarter than their medical counterparts and that plays a huge role in their innovative attitudes. lakin unaposema kuwa mtu anayemfanyia operesheni mgonjwa eti ni less intelligent kuliko mtu anayecheza na supana tu m,,mimi siwezi kukubalia hata kidogo
Ndo maana knowledge ya physics ni muhimu kwa madaktari.
Vifaa vingi vinavyotumika hospitali viligunduliwa na madaktari wahandisi wanafanya kazi ya kudurufu na kuboresha.
Tiba zote zinazotumika leo, magonjwa yote yanayogunduliwa yanagunduliwa na madaktari. Hujasikia daktari wanataka kuunganisha kichwa?
Ubunifu wa daktari upo kwenye eneo lake vivyo hivyo kwenye uhandisi.
Nimshauri tu mleta mada kuwa kajisomee sana ubobee, ufikiri ndo unaweza kuwa mbunifu. Kuwa engineer au doctor haitoshi kuwa mbunifu.
Mtoa post ww n artist pure japo upp garage kwa kushika chuma tuu ili wanao wasimamie kwa jiraneti ni kweli medical students are not creative than engineering students ........
lakin napata mashaka kwani kuna maengineer wengine waliosoma miaka minne tena elimu ya chuo kikuu mechanical engineering lakin hawawezi kutrace tatizo dogo tu kwenye gari,,,yaaan namanisha
"There are some people who spent4 years in the university studying Mechanical engineering yet they won't be able to detect even the least fault in a car"
ebu twende kwenye conceptual analysis kwa mtazamo wangu mie naona maengieer wako vizuri na huko mbeleni kutatokea programme za ki IT zitakazowareplace madoctor japo ni baadae sana....
N.B huu ni mtazamamo tu mawazo masela msijenge chuki na mimi..haya ni mawazo tu,,,,,mengine yanakaribishwa jukwaani...
wale waliosoma masomo ya sanaa nawaomba nyie muwe mashabiki tu...huu uzi unawahusu kidogo mnaweza kutoa mchango wenu...
Understanding capacity na creativity ni tofauti. Most of the doctors have the understanding of what they do but they aren't creative. To be an engineer you must be a creative person. That why most of the engineering lessons are about calculations. Medicines lessons are based on facts which a person has to understand or/and memorize and apply so as to be a good doctor.Simaanish hivyo ila napinga dhana ya kudhani kua engineer is more creative than doctor or vice versa
Ucreative wa MTU ni juhudi yake kutafuta maarifa na understanding capacity
Umetoka ndani ya madaBaada ya mapolisi na mahakama.....na dr ndio wanafwata kwa kupokea rushwa
hapana kaka kuna maengieer hasa wa udsm nawajua vizuri wanameza tu ...they are not creative kabisa yaaan wanameza turn.Understanding capacity na creativity ni tofauti. Most of the doctors have the understanding of what they do but they aren't creative. To be an engineer you must be a creative person. That why most of the engineering lessons are about calculations. Medicines lessons are based on facts which a person has to understand or/and memorize and apply so as to be a good doctor.
Wengi wa wanaomponda mtoa mada hawajamuelewa.
Siyo beef honestly speaking Elimu yetu is not practical at times ukitaka kuifanya iwe practical inakuwa as ukaja na concepts za kuleta solutions jamaa wa authority wanakuwa wanaleta kind of blockages as not to let you meet your goals...Kwa ufahamu wako mpaka sasa fault zote kwenye gari ni mechanical kwa kuzingatia magari mengi siku hizi yana lots of electrical na electronic components au systems ambazo zimekuwa integrated na mechanical systems. Halafu toa mfano ambao ni specific ili ueleweke unataka kusema nini.
Je, madaktari ndio hawakosei kufanya diagnosis ya magonjwa? Pale MOI mgonjwa wa kichwa kupasuliwa goti na wa goti kupasuliwa kichwa, je hii unaitazama vipi?