Medical check up hii imenishangaza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Medical check up hii imenishangaza!

Discussion in 'JF Doctor' started by Tripo9, Oct 23, 2009.

 1. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kazi yangu inanilazimu ku-do medical check up kila mwaka. Juzi nimetoka kufanyiwa coz it has been a year now since i last did one. Docta bwana kanistua. Kaniambia nisasambue then kashika shika eggs zangu then mtalimbo wangu aka penis.

  Why all these? Alijaribu kunieleza kwa kweli sikumuelewa maana I was in a shock! A big shock!

  Wataalam nielezeeni alikua ananicheki nini? Medical ya last year sikufanyiwa hivi mbona!
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,490
  Trophy Points: 280
  Huyo daktari ni He au She?
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wewe kazi yako nini mdogo wangu?
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  ulikutana na dokta shoga mdogo wangu hapo alitaka kukuamsha halafu akutie majaribu, sijui ingekuwaje mgonjwa angekuwa mpwa wangu fidel80 au masanilo.
   
 5. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Docta alikua HE. Nimepatafununu ni shoga but hata kama shoga alikua kazini. Kazi yangu nini?!... Guess.... Argh haina maana kusema cha maana nijue alikua akichek nini. Ila mi kwa kweli sikuona uhusiano wa nyeti zangu na kazi yangu.
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,490
  Trophy Points: 280
  Unafanya kazi gani?
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Hospitali gani nimpe deal masnilo akafanye check up amtifue mbolea, au mpwa crispin unataka kwenda kuangalia afya?
   
 8. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hapo hakuna cha ajabu... hiyo ni physical...mbona wanawake huchekiwa kila kitu?
  Msiwe na mawazo mabaya...
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Fidel80 angemalizana naye hapo hapo ofisini, mimi mazee I do not "do" men! maana hata vitabu vitakatifu vimezuia.
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,490
  Trophy Points: 280
  Nawashangaa watu wanaogopa kuchekiwa afya zao. Daktari kama huyo safi sana.
   
 11. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mambo yetu yale
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,490
  Trophy Points: 280
  Vera utanifanya niwe daktari kwa sababu ya hiyo red hapo.
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Napenda daktari wa kike anifanyie check up kama hiyo! baadaye na mimi naweza mwambia Dr kama hutajali naomba na mimi nikuchecki kama huna cancer ya kizazi hebu sasambua na upanue mapaja!
   
 14. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama wewe ni rubani, wala si shangai.
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,490
  Trophy Points: 280
  Hivi rubani anachekiwa mpaka baioloji yake?
   
 16. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2009
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Daktari anaweza alikuwa sahihi. Kuna testicular cancer ,hivyo kushika testicles ilikuwa sahihi. Pia kushika uume alikuwa anaangalia kama kuna dalili za magonjwa ya zinaa kama vile kutokwa usaha uumeni au kuwa na vipele.

  Kuna kipimo kingine kinachoitwa Per Rectum examination (PR) kinahusu kutiwa kidole kwenye njia ya haja kubwa kuangalia Prostate na njia ya haja kubwa. Hiki ni kipimo kinachotakiwa kufanyika "routine" pia.

  Mwisho, Daktari alitakiwa kukupa maelezo ya kina kabla ya kukushika sehemu zako za siri.
  Nawasilisha.
   
 17. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kuna magonjwa mengine bora urest in peace slowly but sure...
   
 18. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hua wanachekiwa mambo mengi sana.
   
 19. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Hiyo mbona siyo kazi Masa?
  Ukifikia kufanya kipimo cha Prostrate sema nikuunganishe kwa Dr mwanamke
   
 20. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #20
  Oct 23, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Duh,

  Vipimo kama hivi vinaweza kusababisha matatizo sana hivi...

  Hiki mimi hujanifanyia, labda network ya ubongo iwe imekatika kabisaaa
   
Loading...