Media, Tumedhalilishwa!, Tumejidhalilisha!. Ni Matokeo ya Sheria Mbovu, Umasikini, Dawa ni Kuunganisha Habari na UtangazajI, Tulipwe Fungu Nene!.

Siku hizi uandishi wa habari umejaa wale watu waliokosa option za maisha...uandishi wa habari na utangazaji umekuwa mbadala wa ualimu.

Cha msingi ni wadau wa sekta hiyo kujitambua na kutoruhusu kufanyiwa haya kwani kilichotokea jana ni matokeo ya uwezo wenu na nafasi mliyowapa hao jamaa kuwatendea vile. Jitambueni na tumieni sana vikundi vyenu vya uanachama kupeana dos and don'ts za habari.

Mkisimama pamoja, hakuna atakaeleta dharau....
Mkuu Vin Diesel, asante kwa ushauri huu, tutauzingatia.
P.
 
Hivi sasa wanahabari wamegubikwa na njaa kali iliyojumuika na ukanjanja. Steve Nyerere akiitisha mkutano na waandishi wanajaa waandishi lukuki. Zitto kabwe akiitisha wanaenda waandishi wawili... labda watu watasema waandishi hawana time na siasa... lakini akiitisha bwana Polepole wanajazana kama wamepelekwa na mafuriko

Hakuna tena kubalance stories. Wanaandika zile wanazojua watapewa bahasha na zile Bwana mkubwa atapenda kuzisikia.

What a waste!
Mkuu Aspirin, this is true. Tuko kwenye uchumi wa nguvu ya soko, na media nayo inafuata market forces za wasomaji wao wanapenda kusoma nini, kama Zitto anashushusha nondo nzito za kiuchumi, na Diamond anatoa taarifa ya kumtosa Zari na kuibuka na Mobeto, nani ataripoti habari ya Zitto?. News ipi itauza zaidi gazeti?.
P
 
Paschal pole sana kaka. naona unatumia nguvu nyingi kupambana na ukweli wa hali. waandishi choka mbaya na hili uliliweka wazi wewe mwenyewe kwenye andiko lako kuhusu baada ya kufungwa maduka ya pesa sasa njaa imehamia kwenu. Sasa bora hao... wewe mwenyewe umekuwa ukikosa kusimamia hoja humu unambwerambwera hadi wadi wanajiuliza huyu ndiye paschal au anajipendekeza apate teuzi? Waacheni vijana wapate vijisent kwani hali kwenye media chaliiiii....
 
Mkuu Pascal,
Heshima hujengwa na mtu anayetaka kuheshimika/kuheshimiwa. Kama mnataka hiyo heshima tengeneza mazingira ya kuheshimika mtaheshimika.Kama nyie wenyewe manashindwa thamini profession yenu wenyewe hakuna mtu ambaye atawaheshimu.Kama hampati heshima ni kwamba nyie mmeshindwa kujiheshimu na kujithamini wenyewe.

Pia naomba kujua kama waandishi wa habari wana chama chao kama ilivyo kwa Wanasheria ambao wana (TLS). Kama hicho chama kipo inamaana kimeshindwa kutekeleza majuku yao kwa kuwaadhibu/ kuchukua hatua za kinidhamu dhidi waandishi wa habari wanaotenda kinyume na maadili ya waandishi wa habari.
Mkuu joshydama, Waandishi hatuna profession association kama wanasheria na TLS, tunavyo vyama vya wafanyakazi.
P.
 
Mkuu Macho Mdiliko, kwanza ni kweli, mimi ni mjada kamil gado, baada ya JKT, niliunga JWTZ moja kwa moja na kupiga deppa Airwing had ku pass out na kuajiriwa joshing na MT number yang ninayo, ikitangaza too vita, mimi ni reserve soldier nadir tunaitwa mstari wa mbele, hata hivyo, huwa sijitaji, hata kenye CV yang siweki, kwa sababu sipendi kutisha watu humu, ili wanaonijua, na waliofanya Kazi na mimi na wanaondelea kumanya Kazi na mimi, wananijua sinsi ninavyofanya Kazi kijeshijeshi.
NB. Kuna kitu kinaitwa the right to privacy, hata kama unamjua otu fulani ni mjeshi, mwenyewe hajataka kujitambulisha ni mjeshi, wewe kumtambulisha ni mjeshi ni kuingilia uhuru wake wa the right to privacy.
P.
Namna ulivyochanganya maneno!!
Najua huwezi kusema ilikuwaje ukatoka.

Vipi Mzee wako aliyekuwa Rco, alishawahi kuwa influence kwako?
 
Paschal pole sana kaka. naona unatumia nguvu nyingi kupambana na ukweli wa hali. waandishi choka mbaya na hili uliliweka wazi wewe mwenyewe kwenye andiko lako kuhusu baada ya kufungwa maduka ya pesa sasa njaa imehamia kwenu. Sasa bora hao... wewe mwenyewe umekuwa ukikosa kusimamia hoja humu unambwerambwera hadi wadi wanajiuliza huyu ndiye paschal au anajipendekeza apate teuzi? Waacheni vijana wapate vijisent kwani hali kwenye media chaliiiii....
Mkuu Mandokwa, asante nimekusikia. Japo ni kweli media tuna suffer, but not to that extents kutupiwa pesa kama mbwa halafu tunagombania!.
P
 
Namna ulivyochanganya maneno!!
Najua huwezi kusema ilikuwaje ukatoka.

Vipi Mzee wako aliyekuwa Rco, alishawahi kuwa influence kwako?
Yes kuna vitu hausemi, Mzee wangu hakuwa RCO alikuwa RSO, kwanza sikuwahi kumjua alikuwa nani hadi yalipomkuta yakumkuta, hakuwahi kuwa na influence kwangu ila yaliyomkuta yakanijengea chuki na hao sio watu kabisa!. Mkitofautiana unaweza hata unywele msioone, just imagine hadi ex DG aliotezewa just for... tuyaache.
P
 
mkuu ungekuwepo jana pale usingegombania kweli?
Mkuu Issac77 ni vile wengi tunajuana kupitia jf lakini hatujuani what we real are. Mimi namshukuru sana Mungu, wahariri na waandishi wa ukweli tunajuana, hakuna asiyenijua na misimamo yangu, mimi ni masikini jeuri, niko radhi kulala njaa kuliko kudhalilishwa. Mimi ni kama "Kozi Mwana Mandanda, Kulala Njaa Kupenda ".
P
 
Nimekulewa kwenye ulipaji, waandishi waboreshewe maslahi yao. Njaa mbaya sana asee. Hata hivyo ni ngumu kuipangia sekta binafsi (media nyingi ni binafsi) kimo cha chini cha mshahara na kuisimamia, watu kule wanabembeleza kazi na sio kubembelezwa.
Hakuna ugumu wowote, mbona wanasheria wanapangiwa?, madaktari wanapangiwa, why not waandishi?. Kama huwezi kulipa vizuri waandishi, usianzishe media.
P
 
Hivi kikao chao kilikuwa kimeshaisha? Maana kama kilikuwa bado sidhani kama baada ya pale kiliendelea tena.

Angewapa mmoja mmoja, lakini hiyo ya kuwatupia kila mtu apiganie ni dharau. Hiyo stail inatumika kwa kikundi ambacho wanaaminiana. Wanarushiwa hela baadae zinakusanywa wanagawana. Sasa hiyo ya Irine Duuuh.

Nimesikitika zaidi baada ya kusikia vifaa vya waandishi viliharibika. Nilitegemea aseme ataingia gharama katika matengenezo. Maana kuna ambao hawakuwa na mpango na hizo hela waliendelea kurecord..lakini kilichotokea ni kusukumwa.
Imesikitisha.
P
 
Pole mkuu! Inaonyesha tukio hilo limekuumiza mno.
No halikuniumiza kivile kwa vile ni mtu wa fani hii najua wengi waliokuwepo hapo sio waandishi wa habari kiukwelikweli ni ma bloggers na online TV ambao ni waandishi wa mitaani tuu.

P
 
Back
Top Bottom