By the way KM Player iko poa kuplay high resolution. But just like Windows Player, inasusia kuplay .flv. Mostly I download Video clips from youtube, and flv files are compressed to occupy a smaller space and hence download faster. Maybe a video clip which is 700MB in it Mp4 format, can just be a petty 300MB in its flv form.KM Player hamuitaki kabisa?
By the way KM Player iko poa kuplay high resolution. But just like Windows Player, inasusia kuplay .flv. Mostly I download Video clips from youtube, and flv files are compressed to occupy a smaller space and hence download faster. Maybe a video clip which is 700MB in it Mp4 format, can just be a petty 300MB in its flv form.
Hivi JetAudio huwa ni kwa ajili ya audio peke yake(kama jina lake lilivyo) au hata video files?
we naeee. inacheza video bana. ila hawajaiupdate muda sasa nahisi ishaanza kupitwa wakati... kwani vlc inaplay video pekee?
Ohhhhh nlisahau VLC VideoLan
@C6 umri unasogea.... nimechek site yao inaonesha kuna jetaudio latest ya Sep 2013 so sio outdated kivile labda kwa sababau umezoea kutumia player fulani halafu unasahau kama kuna nyingine