Medard Kalemani & Tito Mwinuka: Collaboration Iliyoongoza TANESCO kwa Mafanikio Makubwa

Ukweli usemwe:

Enzi za uongozi wa Medard Kalemani na Tito Mwinuka kukatika kwa umeme ilikuwa ni nadra sana, ma meneja wa TANESCO wa mikoa na wilaya walikuwa matumbo joto.

Kitengo cha emergency kilifanya kazi mchana kutwa, usiku kucha, huko vijijini speed ya kuwasha umeme kwenye miradi ya REA haikuwa ya kawaida.

Kila aliye ingia kwenye 18 za waziri Kalemani alikwenda na maji.

Mheshimiwa Rais warudishe hawa watu na uwape uhuru wapige show kabambe tule maisha.

Hivi vitu ndo vinatugusa moja kwamoja. Tunamkumbuka sana JPM huu ni ukweli mheshimiwa. Umeanza kutuchosha.
Kuna watu waliwaponda wakakodi mpaka Chopa kukagua vyanzo vya umeme, walikuwa na mbwembwe matokeo yake wameharibu mazuri waliyo ya fanya wenzao.

Mwaka jana mikataba ya mabilioni ya shillingi,mama nae bila hiyana kawapa ila hamna walichofanya.
 
January Yusuf Makamba ameharibu sana Tanesco ,,,

Na huyo mwenzake Maharage Chande kwakeli ndio Maharageeeee kabisaaaa!!

Naona mama samia ameshaona hali halisi na amekubali kushindwa kwa watoto pendwa wake wakina Makamba,,, mpaka kuwarudisha sukuma gang kazini wakina Doto Biteko maana yake amekubali ukweli kwamba hali ni mbaya na wale aliowaamini yeye kazi wameshindwa said ya kuharibu na kufisadi shirika la Tanesco!! Ikabidi aanze kuwapangua kuanzia Makamba mpaka Maharage!!

Doto Biteko kaziniiiii...!! Japo kapokea shirika likiwa hoi bin taabani kwakweli Biteko kazi anayo!! Pole sana kwake na kwa watanzania wote kwa ujumla!!
 
Ukweli usemwe:

Enzi za uongozi wa Medard Kalemani na Tito Mwinuka kukatika kwa umeme ilikuwa ni nadra sana, ma meneja wa TANESCO wa mikoa na wilaya walikuwa matumbo joto.

Kitengo cha emergency kilifanya kazi mchana kutwa, usiku kucha, huko vijijini speed ya kuwasha umeme kwenye miradi ya REA haikuwa ya kawaida.

Kila aliye ingia kwenye 18 za waziri Kalemani alikwenda na maji.

Mheshimiwa Rais warudishe hawa watu na uwape uhuru wapige show kabambe tule maisha.

Hivi vitu ndo vinatugusa moja kwamoja. Tunamkumbuka sana JPM huu ni ukweli mheshimiwa. Umeanza kutuchosha.
Boss,utakuwa na dola elfu nne hapo unirushie kwenye radio-call/walkie talkie yangu?Mambo ya bandarini huku.Mkufu wa shangazi yako wameuzuia hapa.Fanyafanya basi boss!🙏
 
Back
Top Bottom