Meck Sadick Vipi Tena Uvaaji Huu?

Nadhani kwa sasa huu mwenge ungewekwa makumbusho tuu, na kwa anayetaka kuuona aende huko makumbusho....(iwe historia tuu) Tunapoteze fedha za walipa kodi tuuuuu.....(wala hakuna la maana zaidi ya kuchochea ongezeko la VVU)

Lubaluka umesema vyema kabisa!
 
Last edited by a moderator:
ndivyo inavyotakiwa kuvaa ,mimi mwaka juzi niliuliza wakati mwenge unapokelewa hapa kinondoni,sababu sikuambiwa!
 
sema jamani huu mwenge ukianza fuatilia historia yake unaweza ogopa na kuhisi labda tumefanya contract na shetan..nilipata kuuona moshi wakati wanaupandisha mlima kilimanjaro,mara sijui hautakiwi kuonekana unapowekwa,wanaoubeba hawatakiwi kulala na wanawake yaani ni mbwembwe kibao ka imebebwa hirizi
 
Huo ndio uvaaji wa kikamanda kamanda. Ulitaka avae ikiangalia mbele aungue na moto wa kibatari cha taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…