Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,864
- 41,228
Waweke na za mechi zao 2 za awali walizocheza hapo kwa mkapa
Amna mkuu...Ni realityTatizo lako waga unajitoa ufahamu linapokuja swala la Yanga, hakuna sehemu Mie nimekataa takwimu ni kweli kabisa inawezekana Yanga amevuta mpunga mrefu kwakuwa team mwenyeji ndio hupokea gate collection
Lakini katika takwimu za miaka mingi Tu katika kariakoo Derby mashabiki wa Simba ndio huingia wengi na Yanga kunufaika kupitia Hilo, ata last season wakat takwimu zinatoka Yanga wameongoza Kwa kupata mapato ni Kwa sababu hiyo Tu
Mie nachopinga ni Manara na Senzo kuwaaminisha watu kuwa mwenye derby ya Juzi eti mashabiki wa Yanga walikuwa wengi, na baadhi ya wajinga wanapostiwa picha za kwenye Tamasha la siku ya wananchi wakiaminishwa ilikuwa ni Juzi na wao wanakubali
Kitu mnachotakiwa kufanya ni kwenda uwanjani kusapoti team yenu kwenye derby na sio kuishia humu tu alafu Kwa mkapa hamuendi hadi viongozi wenu Wanaona aibu kupost picha original, maana kuzunguka kote kule Kwa Manara na Bumbulikwenye media kuipromo Derby hakujazaa matunda yoyote, mnakuja kuzidiwa idadi na team ambayo sio mwenyeji na wala haijazunguka kufanya promo
Nadhani hujaelewa mada inahusu nini mkuu, hatuongelei Yanga kuingiza mashabiki wengi Bali inaongelewa kuwa Yanga ameingiza mapato mengi katika Derby iliyopitaKama Msimu uliopita Yanga ilikua haifanyi vizuri bado takwimu zilionyesha Yanga Ili ingiza mashabiki wengi uwanjani katika mechizake iyo aijalishi ni mechi za Simba na Yanga au Yanga na Azam, Kwaiyo msimu huu itakua zaidi kwakua Yanga inafanya vizuri.
Mambo ya Yanga kuingiza Mashabiki wengi viwanjani haija anza Leo Wala Jana ni tukio la miaka mingi tangu miaka ya 1960 uko.
Kama unahisi takwimu zinapikwa basi jaribu kuuliza Pale Zanzibar wao wanatakwimu nyingi za Mapinduzi cup, kule Mechi za Yanga Zina wastani wa kufunika Kwa wingi wa mashabiki kuliko timu yoyote inayo shiriki michuano iyo.
Sisi huwa hatufichi statistics mkuuLeta picha hapa inayoonesha nyie ndio mlijaza uwanja tuone...! Kwani nyie si mlikuwa kwenye club bingwa mkacheza na kina Rivers vipi na nyie mlivuna milioni ngapi nyie kama nyie?
Yanga anategemea mapato kutoka Kwa mashabiki wa Simba full stop, hutaki basi leta ushahidi hapa nyie ni wengi kuliko Simba kwenye derby, kama hujaleta picha za siku ya wananchi
Yaaah mapato yanaenda kwa timuKwani hayo mapato ya mlangoni si yanaenda klabuni Yanga? GSM yeye ni muuza jezi tu, auze anavyotaka lakini atuletee sh. 1,300/= kwa kila jezi anayouza. Bado nasisitiza, kwa mapato hayo ya mlangoni, Yanga ni klabu tajiri kuliko zote hapa nchini
Kabisa mkuu....,..nadhani tafsiri ya neno WANANCHI inajulikanaKama Msimu uliopita Yanga ilikua haifanyi vizuri bado takwimu zilionyesha Yanga Ili ingiza mashabiki wengi uwanjani katika mechizake iyo aijalishi ni mechi za Simba na Yanga au Yanga na Azam, Kwaiyo msimu huu itakua zaidi kwakua Yanga inafanya vizuri.
Mambo ya Yanga kuingiza Mashabiki wengi viwanjani haija anza Leo Wala Jana ni tukio la miaka mingi tangu miaka ya 1960 uko.
Kama unahisi takwimu zinapikwa basi jaribu kuuliza Pale Zanzibar wao wanatakwimu nyingi za Mapinduzi cup, kule Mechi za Yanga Zina wastani wa kufunika Kwa wingi wa mashabiki kuliko timu yoyote inayo shiriki michuano iyo.
Yanga ni fake kwa vitu vingi ,imagine timu inayotajwa kuchukua ubingwa mara 28 haijawahi hata kuingia nusu fainali Klabu bingwa Africa wakati aliyechukua mara 22 kafika huko na kafika Robo nyingi tu.Manara karudia Yale Yale ambayo alikuwa anafanya Nugaz, uwanja unajazwa na Mashabiki wa Simba alafu yeye anajipa pongezi Kwa kuhamasisha kujaza uwanja
Kwa hii miaka ya karibuni, game za derby zote haijarishi Simba ni mwenyeji au Yanga ni mwenyeji, bali mashabiki wa Simba watakuwa wengi tu na sijui Yanga waga kwanini hawajitokezi Kwa wingi kama kwenye siku ya wananchi
Imefkia hatua viongozi wa Yanga kama Senzo na muhamasishaji Manara wanapost picha za uongo ili kuaminisha watu kwamba mechi ya Juzi Yanga walikuwa wengi kuliko Simba, ni aibu kwa viongozi kujaribu kupotosha kwani kasumba ya Yanga kutoingia wengi kwenye derby haijaanza Leo
Senzo na Manara wanatumia picha za siku ya wananchi ya mwaka Jana kuaminisha watu kwamba walijaza uwanja kitu ambacho sio kweli, wao wajikite katika kuboresha team na washabiki watakuja Tu wenyewe kama ilipofkia Kwa mashabiki wa Simba
Simba hawajafanya promo yoyote ili mashabiki waende uwanjani hadi Bumbuli akalalamika kuwa Simba Wana roho mbaya hawataki kuipromo derby kwa sababu wanajua Yanga watapata pesa nyingi
na of course ni kweli Simba walikuwa wanajua Tu mashabiki wao ndio watajaza uwanja ata kama wao sio wenyejei na ndio kilichotokea, robo Tatu ya uwanja ilikuwa ni mashabiki wa simba, kwahiyo hii game kuongoza Kwa mapato sio ajabu maana huo ni mwendelezo wa kila msimu Kwa Yanga kunufaika na Mashabiki wa Simba
Kwahiyo kama Manara alikuaga anadhania mashabiki wa Simba wanajaa uwanjani Kwa ajili yake alikuwa anapotea, pamoja na kufanya tour kila Media ila alichoambulia ni number ile ile ya siku zote Kwa mashabiki wa Yanga, Kwa lugha rahisi zaidi ni kwamba katika swala la mashabiki kuingia uwanjani hajapunguza chochote kwa Simba na wala hajaongeza chochote kwa Yanga
View attachment 2208272
View attachment 2208273
Mkuu.... YANGA imefika huko miaka mingi SanaYanga ni fake kwa vitu vingi ,imagine timu inayotajwa kuchukua ubingwa mara 28 haijawahi hata kuingia nusu fainali Klabu bingwa Africa wakati aliyechukua mara 22 kafika huko na kafika Robo nyingi tu.
That means hata ubingwa wake mara nyingi haureflect ubora wake
Kwa hiyo utopolo inakuwa kubwa inapocheza na Simba tu? Maana utopolo imecheza na Rivers utd hapo hapo kwa Mkapa na hatujaona takwimu ya mapato ikiwekwa wazi.Kama tu moo amewapiga kitu kizto michango ya ujenz wa uwanja.......
Sisi ni Nani tusipende pesa
Haya sawaYaaaah manara haja pika takwimu ....
Swali ni , Je,viingilio vinafanana kwa mechi hizo?Nadhani hujaelewa mada inahusu nini mkuu, hatuongelei Yanga kuingiza mashabiki wengi Bali inaongelewa kuwa Yanga ameingiza mapato mengi katika Derby iliyopita
Na hakuna mtu anakataa hiyo, ni kweli ila shida inakuja kwenye Nani kaingiza mashabiki wengi katika huo mchezo husika?
Yanga ananufaika na uwepo wa mashabiki wengi uwanjani katika Derby ambayo yeye ni mwenyeji, mfano derby ya Juzi mashabiki wa Simba walikuwa robo Tatu ya uwanja na Mashabiki wa Yanga ikiwa robo iliyobakia
Sasa kwa takwimu hizi sidhani kama kuna haja ya kujisifia mmeingiza mapato mengi ilhali yametokana na uwepo wa mashabiki wengi wa team pinzani, na haya yote yanatokana na Manara kutaka kuaminisha watu kuwa game ya Juzi wao ndio walikuwa wengi na kuishia kupost picha za siku ya wananchi ya mwaka Jana
Kwahiyo kuhusu Yanga kuongoza kuingiza mashabiki wengi na get collection last season hiyo yote imetokana na Mashabiki wa Simba kuwa wengi kwenye derby, takwimu zinaonesha yanga iliizidi Simba mashabiki kama elf 3 hivi, ila katika michezo yote ya derby Simba ni wengi
Muanze kwenda Kwa wingi katika kariakoo Derby kuisapoti team yenu na sio kusubiri hadi viongozi wenu wapost picha za uongo Kwa aibu, haiwezekani wahamasishaji wawili wanapisha kwenye media kufanya promo alafu mashabiki wanaingia robo uwanjaView attachment 2208381
Imewahi kufika nusu fainali?Mkuu.... YANGA imefika huko miaka mingi Sana
View attachment 2208407
Onesha gazeti la pili likionesha robo fainali nyingine na nusu japo 1 ili kudhihirisha kweli ninyi ni bora kuliko Simba ScMkuu.... YANGA imefika huko miaka mingi Sana
View attachment 2208407