Sawa, kwa nini Yanga imecheza mechi moja kubwa, na sio mbili? 😂Sasa huoni kuwa YANGA ndo baba lao
Mechi mbili kubwa za Simba =454m
Mechi moja kubwa yanga = 320m
Hapanaaaa mkuu......hizi sio za kupika coz TFF wangemfungia kutoa report za uongoData za kupika za haji manara ila ajifurahishe nafsi yake ili aonekane yeye ni bora kuliko wengine ila manara kama ni kichaa basi ni ile stage ya mwisho kabisa.
Hapanaaaa mkuu......hizi sio za kupika coz TFF wangemfungia kutoa report za uongoData za kupika za haji manara ila ajifurahishe nafsi yake ili aonekane yeye ni bora kuliko wengine ila manara kama ni kichaa basi ni ile stage ya mwisho kabisa.
It means hizo zilikuwa na mapato chini ya hayo yaliyotajwaHoja yangu ni kwamba, inaongoza kwa mechi ngapi? Kumbuka hapo zimetajwa Yanga, Simba na Orlando tu, lakini ilikuwapo Jwaneng Galaxy, Red Arrows, Berkane, ASEC na USGN, pamoja na Rivers
Sisi ndiyo tunaujaza uwanja japo kuwa wasemaji hawapandi maroli kuhamasisha mashabikiWala sio uongo ni kweli aliongoza ila ni msimu uliopita Tu na sio kawaida yao, na aliongoza Kwa sababu ya mashabiki wa Simba kuingia wengi kwenye derby zote 2, Yani haijarishi Yanga ni mwenyeji au mgeni bali mashabiki wa Simba ndio huwa wengi
Sasa leo hii Manara anahusisha kuingia mashabiki wao wengi na wao kuingiza mapato mengi, Hadi anapost picha za siku ya wananchi mwaka Jana ili Tu aaminishe watu kwamba Yanga walikuwa wengi katika Derby ya Juzi kuliko Simba
Ukiangalia namba katika Derby ya Juzi ni almost robo 3 ya uwanja walikuwa ni mashabiki wa Simba ilhali Yanga ndio mwenyeji, alafu leo kiongozi kama Senzo anapost picha za mwanachi day ni aibu nayeye kufata mkumbo wa ndugu yetu Manara
inaonekana ata viongozi wa Yanga na wao wanapenda kuona mashabiki wa Yanga wawe wanaingia wengi kwenye derby ili ionekane tofauti na miaka ingine, ila ndo hivo tena sijui mashabiki wa Yanga waga wanaogopa nini kwenda wengi kwenye derby na ata kama wao ndio wapo kwenye form nzuri ila waga hawaendi wengi
Yanga ni timu tajiri kuliko zote hapa nchini, na ndio maana ilaidhamini Ligi nzimaHapanaaaa mkuu......hizi sio za kupika coz TFF wangemfungia kutoa report za uongo
Jibuni hoja......achana na personal attacksChanzo ni huyu mama yoyo?View attachment 2208304
Tatizo lako waga unajitoa ufahamu linapokuja swala la Yanga, hakuna sehemu Mie nimekataa takwimu ni kweli kabisa inawezekana Yanga amevuta mpunga mrefu kwakuwa team mwenyeji ndio hupokea gate collectionMkuu...koo unabishana na takwimu
Mayele fc kumbe mnapenda mapato..Makolo mnamuogopa MAYELE
Leta picha hapa inayoonesha nyie ndio mlijaza uwanja tuone...! Kwani nyie si mlikuwa kwenye club bingwa mkacheza na kina Rivers vipi na nyie mlivuna milioni ngapi nyie kama nyie?Sisi ndiyo tunaujaza uwanja japo kuwa wasemaji hawapandi maroli kuhamasisha mashabiki
Kwani hayo mapato ya mlangoni si yanaenda klabuni Yanga? GSM yeye ni muuza jezi tu, auze anavyotaka lakini atuletee sh. 1,300/= kwa kila jezi anayouza. Bado nasisitiza, kwa mapato hayo ya mlangoni, Yanga ni klabu tajiri kuliko zote hapa nchiniHapana mkuu....tajiri Ni GSM siyo YANGA
Unaambiwa " kwa mujiu wa Manara" bado unaamini?Na Orlando......View attachment 2208303