Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

wakiwa katika mistari tayari
 

Attachments

  • IMG-20160628-WA0005.jpg
    IMG-20160628-WA0005.jpg
    67.7 KB · Views: 119
Tangu nigundue yanga ni timu ya CCM nilijivua uanachama na mapenzi kabisa...tp mazembe timu piga yeboyebo vyura fc bao NNE tu,..uzalendo peleka Iceland Hapo visasi tu.!!
 
Mungu Baba wa mbinguni tunakuomba uiwezeshe timu ya wananchi ishinde Leo...Amina
 
Kutoka Mbagara kwenda mjini kunafoleni sana watu wanatembea kwa miguu sijui uko mbele ya mataa ya karibu na chuo cha uhasibu kuna nini au ndo watu washaanza kwenda uwanjani?
Hiyo foleni haihusiani na mechi.. kuna malori yameharibika hapo msikitini ikapelekea foleni pande zote
 
na Mungu ni mmoja tu ukumbuke
Mbona kiherehere wewe,subirini na nyie timu yenu mshiriki mashindano ya kimataifa ili mpate kuiombea, timu ambayo hamna hat uhakika itashiriki lini,sasa hivi ni zamu ya yanga .
 
Back
Top Bottom