Kumbe mnatumia lugha moja kusudi mpate ufahariHuo fahari kutumia luvha moja mumwomba Mungu? Leo Quran ichomwe moto yote waislam wataiandika maana lugha ni moja na kila mwislam ana aya kichwani.
Lakini leo biblia icbomwe moto leo hote hamtaweza kuiandika. Kwanza uwezo wa kukariri aya zote kichwani hamna!
Sasa nyie mnaochakachua maandiko kwa kisingizio cha lugha ndio ufahari?Kumbe mnatumia lugha moja kusudi mpate ufahari
Hiyo sio Dini ya Mungu
Hiyo Ni Dini ya kuungaunga
Dini ya kuungaunga ni ukristo. Mara roho mtakatifu.....mara Mungu mwana......Kumbe mnatumia lugha moja kusudi mpate ufahari
Hiyo sio Dini ya Mungu
Hiyo Ni Dini ya kuungaunga
piga adhana kwa kihehe [emoji117] allah mbala allah mbalaaa...akikusikia ni-tag [emoji38] [emoji38] [emoji38]Uongo huo..
Hiyo haipo kwenye uislam. Ipo kwenye dini zingine za kuungaunga tu....piga adhana kwa kihehe [emoji117] allah mbala allah mbalaaa...akikusikia ni-tag [emoji38] [emoji38] [emoji38]
hapo asbab allah haelewi lugha nyingineHiyo haipo kwenye uislam. Ipo kwenye dini zingine za kuungaunga tu....
Ha ha ha ha [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]piga adhana kwa kihehe [emoji117] allah mbala allah mbalaaa...akikusikia ni-tag [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Malyenge
Endelea kumpigania Aalah kwani utakuja kunufaika na mito ya ulevi
SafiWaefeso 6:12
11 Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.
12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Huoni fahari kutumia lugha moja mumwomba Mungu? Leo Quran ichomwe moto yote waislam wataiandika maana lugha ni moja na kila mwislam ana aya kichwani.
Lakini leo biblia icbomwe moto leo hote hamtaweza kuiandika. Kwanza uwezo wa kukariri aya zote kichwani hamna!
Ni mawazo yako yaliyobebwa na kapu bovuMekkah ina heshima lakini inaonekana mlango wa kwenda mbinguni upo Yerushaleym. Kwani mtume wa Allah Bwana Muhamad alipotakiwa na Allah aende mninguni ilimbidi asafiri hadi Yerushaleym ili apande juu mbinguni.
Hili linadhihirisha Yerushaleym nk zaidi ya Makkah
Tuwekee mawazo Bora basi [emoji15] [emoji12]Ni mawazo yako yaliyobebwa na kapu bovu
Unajua miraj na isra ww maamuma? Kama Makkah ni Bora kwa nn mtume alienda Yerushaleym ili aweze kwenda mbinguni?Ni mawazo yako yaliyobebwa na kapu bovu