Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Sasa mdada nae ana kikojoleo ka cha me!!!! kasimama ati
Huyo ni ladyboy, Thailand ni maarufu sana kwa hao vijana. Si unamwona huyo mwingine ni white? Basi ndio zao hao, wakichukua likizo tu wanaenda huko kuburudika na vijana wa kiume ndani ya nguo za kike.
Aaaha kumbe!!!!! laana hii unaweza kufuru ili Mungu asikupatie mtoto wa kiume