Meaning of monster enery logo

Kimox Kimokole

Verified Member
Jun 9, 2010
967
195
Chochote kile unaweza kukitafsiri kwenda 666 kwa kadiri ya akili yako itakavyokutuma, tuifanye dunia iwe sehemu salama ya kuishi tusiwekane hofu
 

Kimox Kimokole

Verified Member
Jun 9, 2010
967
195
siamini katika uchafu ulioweka hapo juu, ila wapo watu wenye akili na muono kama wako wataambatana nawe
 
Top Bottom