Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,481
- 203,148
Wangu amechoka 🤣🤣 sijui nimemfanyaje
Wangu amechoka 🤣🤣 sijui nimemfanyaje
Rabbit?.....mpe msosi chap akupeleke kwa mwana paland mkabebe box Bongo hakuna issue!!Wangu amechoka 🤣🤣 sijui nimemfanyaje
mambo ya kutisha na mie niliepo hapa natisha kama njaaa 🤠🤠Urambo Pale c panatia mashaka, niliwahi skia kuhusu maajabu ya pale juu ya mambo ya kutisha
😅😅 Bongo tamu, japo wachache tu wanataka fanya maisha yawe tafraniBasi ndio maana umeamua kubaki bongo
Upo na Skipper na Rico 😃Nikisema nipo Antantica naperuz na penguin nitakuwa nimewaonea?
Nipo china