Me & hubby.....l.o.l

Me & hubby.....l.o.l

First lady Michelle kweli you are very elegant ila kwa uzuri noooo... wewe ni wa kawaida isipokuwa upo kwenye mazingira ya kukupendezesha. U have a great hubby tho

Thank you very much.....wajua siwezi pewa vyote...mume mzuri,u-first lady,lawyer and sociologist,mother of malia and sasha....na ka shepu kazuri hata kama suraa nimenyimwa.....unavitumia na kuvifurahia hivyo ulivyo navyo au sio?
 
nitakulinda Uporoto huna haja ya kuogopa...secret service wanakujua sana na hakuna movement yangu isiyokuwa monitored...nimeshawaweka sawa....uwe na amani....l.o.l
Kama hivyo sawa,utakuja leo au nikupitie napika spaggetti and meat balls kutakuwa pia na custard pudding na wine ya kushushia.
 
Kama hivyo sawa,utakuja leo au nikupitie napika spaggetti and meat balls kutakuwa pia na custard pudding na wine ya kushushia.

nipitie nile vizuri then tukaangalie mechi ya arsenal na BARCA then tulale....ooppsssss...twende kule chit chat basi....nisije pigwa BAN
 
nipitie nile vizuri then tukaangalie mechi ya arsenal na BARCA then tulale....ooppsssss...twende kule chit chat basi....nisije pigwa BAN
Kumbe ni Gunners basi we have alot in common,hilo la baada ya mechi limepita bila kupingwa lol!

unaanza kujisahau Uporoto....utanyongwa.....l.o.l
Kuna ule msemo 'nzi kufa kidondani ...'
 
Yaani mlivyopendeza...mnafikiria tu kupanda mlima wa uchaguzi ujao utakavyokuwa mrefu.
 
Hao ni mfano tu. Kwa maisha yetu ya bongo hapa inakua ngumu kidoog kuishi kama hao. Umemka asubui umeme hamna, ofosini bosi mbogo, folini barabarani, mara mshahara umechelewa, mtoto anaumwa, mara gari bovu halafu fundi anakuletea uzushi, wazazi nyumbani wanataka msaada, ni wangonjwa...n.k n.k...! Stress juuu ya stress...! Hata hayo mapenzi unaweza ukayaona shubiri.

Matokeo yake unakuta watu hawana muda wa kufurahia kama hao akina obama...! Furaha inakua imezungukwa na shida na matatizo.

acha tu mkuu, wengine rangi zetu hizi sio asilia bana huu mji ndio unatufanya tuonekane hivi
 
Michelle, lini utadai talaka??

akimaliza tu madaraka yake....mi nadai talaka yangu....niko kimaslahi zaidi....l.o.l

nikishapata talaka naweza kukutafuta? ha ha ha ha:rain:
 
Yaani mlivyopendeza...mnafikiria tu kupanda mlima wa uchaguzi ujao utakavyokuwa mrefu.

Ni kweli Ndahani....tuombe salama huko Libya na uchumi utulie kidogo na unemployment......tupate hata sera mpya za kampeni....la sivyo na huu weusi wetu itakuwa imekula kwetu vibaya....!!!

"We want to shoot the moon...and even if it happens that we fail, we will land among the stars".....like that!<!-- google_ad_section_end -->
 
acha tu mkuu, wengine rangi zetu hizi sio asilia bana huu mji ndio unatufanya tuonekane hivi

Jamani....hamia huku kwetu hakuna shida ndogondogo....hapa yabidi tu ufanye kazi na unywe dawa za stress...l.o.l
 
akimaliza tu madaraka yake....mi nadai talaka yangu....niko kimaslahi zaidi....l.o.l

nikishapata talaka naweza kukutafuta? ha ha ha ha:rain:

Ndio maana ya kukuuliza, halafu hii habri ya kusubiri mpaka amalize? Mnhhh, itabidi nisubiri kwa maslahi pia.
 
mmmmhhhh kila siku jamani husemi tu....mi nakufa kwa hamu ya kusikia kutoka kwako....l.o.l

tatizo watu wengi wanasikiliza!!!

Anyways uwe careful na huyo jamaa!!!
 
Attachments

  • Obama.jpg
    Obama.jpg
    75.8 KB · Views: 80

Similar Discussions

Back
Top Bottom