me-chekaaa hadi chozi likanitoka

me-chekaaa hadi chozi likanitoka

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,878
Reaction score
10,515
WANA JF,

Story iko hivi
Mtanzania, Mkenya na Mganda walikamatwa kwa kosa la kuwa na bangi huko china, wakapewa adhabu ya kwenda msituni na kurudi na matunda kumi.

Mganda akarudi na ma-apple akaambiwa ameze moja bila kutikisika: la kwanza tu akafumba macho wakamuua

Mkenya akarudi na zambarau akawa anameza moja hadi ya 9 akaangua kicheko akapigwa risasi.

Wakiwa kuzimu mganda kamuuliza mkenya mbona ulicheka wakati ulikuwa unakaribia kumaliza;

Mkenya akajibu nilimwona mtanzania anakuja na majikiti maji!!

What's the take home message from this story?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom