Vijana watatu waliokamatwa na madawa ya kulevya China.

Singidan

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
880
937
Kulikuwa na vijana wa3, mkenya, Mtanzania na M'uganda ambao wate walikamatwa nchini china na Madawa ya kulevya. Walipokamatwa walipelekwa ktk msitu mkubwa. Kila 1 aliambiwa aingie msituni na aje na mtunda ma5. Adhabu yao ilikuw n kumeza matunda. Myuganda alikuja na maembe, akaambiwa ameze bila kucheka, akashndwa akapgwa risasi. Mkenya akaja na vipera vidogovidgo, akaambiwa ameze bila kucheka, akameza alipofika cha mwisho akacheka kwani alimuona Mtanzania anakuja huku akiwa amebeba Matikiti Makubwa. Akapigwa risasi akafa.
 
Duh nadhani na mimi ningeambiwa niwe mtazamaji tu bila kucheka ningeuawa maana kwa story tu nimecheka vipi reality
 
Duh nadhani na mimi ningeambiwa niwe mtazamaji tu bila kucheka ningeuawa, maana kwa story tu nimecheka vipi reality?
 
Back
Top Bottom