Cheka ukalale

kadagala1

JF-Expert Member
Nov 23, 2016
5,977
6,271
Cheka ukalale.
Mtanzania, Mnyarwanda, na Mkenya
walikamatwa
na madawa ya kulevya China.
Wakaambiwa
adhabu ni mbili kifo au adhabu
nyingine ambayo
wakiishindwa pia
wanauawa.Wakaomba wapewe
hiyo adhabu
nyingine wajaribu bahati
yao.Wakapelekwa
msituni wakaambiwa waingie
msituni kila mmoja
kwa njia yake halafu kila mmoja
arudi na matunda
kumi ya kufanana. Wakaingia
msituni kila mtu njia
yake.
Mnyarwanda akarudi wa
kwanza.Karudi na maepo
kumi.Akaambiwa adhabu ni
kuyameza yote mazima
mazima moja baada ya jingine bila
kufumba
macho
bila kulia wala kucheka wala
kujitikisa! Akameza
la kwanza.Safi.Kumeza la pili
akashindwa
kuvumilia akafumba macho.
Akapigiwa risasi
akafa.
Wa pili Mkenya akaja.Ana vitunda
vidogo vidogo
Kumi Vya kufanana Vidogo kama
pipi.Akaambiwa
masharti.Akaanza kula bila
kufumbua macho wala
kulia wala nini. Alipofika cha tisa
akashindwa
kuvumilia akaangua kicheko!
Akapigwa risasi pia
akafa.
Wakiwa kuzimu Mnyarwanda
akamuuliza
Mkenya.. "Vipi wewe mbona
ulishindwa kuvumilia
wakati ulibakisha kitunda kimoja
tu?" Mkenya
akajibu: "Kaka, nilishindwa kuzuia
kicheko maana
nilimwona Mtanzania anakuja na
matikiti
maji!".....
................................
 
Cheka ukalale.
Mtanzania, Mnyarwanda, na Mkenya
walikamatwa
na madawa ya kulevya China.
Wakaambiwa
adhabu ni mbili kifo au adhabu
nyingine ambayo
wakiishindwa pia
wanauawa.Wakaomba wapewe
hiyo adhabu
nyingine wajaribu bahati
yao.Wakapelekwa
msituni wakaambiwa waingie
msituni kila mmoja
kwa njia yake halafu kila mmoja
arudi na matunda
kumi ya kufanana. Wakaingia
msituni kila mtu njia
yake.
Mnyarwanda akarudi wa
kwanza.Karudi na maepo
kumi.Akaambiwa adhabu ni
kuyameza yote mazima
mazima moja baada ya jingine bila
kufumba
macho
bila kulia wala kucheka wala
kujitikisa! Akameza
la kwanza.Safi.Kumeza la pili
akashindwa
kuvumilia akafumba macho.
Akapigiwa risasi
akafa.
Wa pili Mkenya akaja.Ana vitunda
vidogo vidogo
Kumi Vya kufanana Vidogo kama
pipi.Akaambiwa
masharti.Akaanza kula bila
kufumbua macho wala
kulia wala nini. Alipofika cha tisa
akashindwa
kuvumilia akaangua kicheko!
Akapigwa risasi pia
akafa.
Wakiwa kuzimu Mnyarwanda
akamuuliza
Mkenya.. "Vipi wewe mbona
ulishindwa kuvumilia
wakati ulibakisha kitunda kimoja
tu?" Mkenya
akajibu: "Kaka, nilishindwa kuzuia
kicheko maana
nilimwona Mtanzania anakuja na
matikiti
maji!".....
................................
Hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom