Sophie_scated
Member
- Mar 20, 2012
- 7
- 3
uko desperate tayari, ni vigumu sana "kupata mwanauma". Ukiwa desperate ni rahisi kwenda na mwanaume yeyote na kuishia kuangukia wrong choice mwisho wa siku unawachukia. Inawezekana tatizo sio wanaume isipokuwa wewe. Kibaya zaidi ni kwamba, unavyozidi kusample ndio unavyopunguza probability ya kupata right choice; kila anayekuja anajua umeshatumika sana, anakuogopa, anakutumia akichoka naye anakuacha.
Mume mwema hutoka kwa Mungu, kama kakuandikia atakuja tu, tulia subiri.
Halafu kama haijatokea kuwa na mwanaume umtakaye, ni afadhali uishi mwenyewe. Inakera kumpenda asiyekupenda au kupendwa na usiyempenda.
Pole, ila bado uko ndotoni ukiamka uniPM.
Ishi uhalisia, na si matamanio.
Hata kama una matamanio jaribu kuyafanya yatokee, unaweka embe zako chumbani wanunuzi watoke wapi?
Unauza embe bei kubwa labda, zitakudodea shosti.
Ukiona vipi, review vission yako naona kwa sasa imejikita kwenye kuolewa.
Pole sana ila jaribu kuchukua notebook uandike wote ambao wamewahi kukupiga kibuti alafu kila jina COMMENT ni nini kilikusababisha uachane nae hiyo itakusaidia kujiSCAN mwenyewe ujue ni sababu ukilipata litafutie sulushen kama linawezekana maana kwa ufahamu wng mdogo ni kuwa mwanamke mwenye kazi kwa hapa bongo yupo marketable sana hasa kupata mume wa kudumu.Inawezekana ukafikilia kuama nchi kwenda kutafuta bwana wa kutulia nae huku kitu au tabia kinachowafanya waage hujakitatua itakuwa kama mtu aliyekuwa anateka maji kwa kutumia pakacha akalitupa ili atumie tenga.Wa pwani wataelewa nin nazungumzia.
sweetie tunaoana lini tulia kwanza na usiharakie sana kumvulia mwanaume chupi kwa kigezo kwamba ndio atakuoa hapana peaneni muda na kama kweli anakupenda atakusubiria tu.
Ila kumbuka pia kuolewa sio kwamba ndio itakuwa mwisho wa matatizo hapana this life is full of challenge mpaka cku unakufa
gfsonwin ushauri wako nimeupenda naona umenifahamu zaidi, hii nazungumzia upande wa kisaikolojia. Inawezekana labda ni chuki nimeiweka toka utotoni ya kutokuwa na wazazi wote wawili pamoja. Jengine ni upange wa kuangalia makosa zaidi, nitalifanyia kazi.