Mdudu sio simu kama huna chaji huna tu

anasema hivi kama huna uume wenye nguvu huna tu,hakuna kinachoweza kukusaidia jogoo hapandi mtungi ni tatizo hilo na sio kula takataka.

Ama kwa hakika kitokacho ndani ya kinywa chako ni kweli kabisa. Tena ila kweli iliyo kweli kabisa.

Ahsante.
 
Ama kwa hakika kitokacho ndani ya kinywa chako ni kweli kabisa. Tena ila kweli iliyo kweli kabisa.

Ahsante.
ukikosa umekosa hakuna njia mbadala zaidi utaharibu hata hako kadogo kalikopo.
 
sijaelewa kichwa cha habar lkn anyway nakutakia bao 3 za nguvu bafuni.
 
ukikosa umekosa hakuna njia mbadala zaidi utaharibu hata hako kadogo kalikopo.

Ni kweli aisee mapishi mengi huharibu mchuzi.
 
Ukishakula hayo mazagazaga, inachukua muda gani kuonyesha matokeo? Hahahaa

Haya mambo mengine kuchoshana tu.
 
Ukishakula hayo mazagazaga, inachukua muda gani kuonyesha matokeo? Hahahaa

Haya mambo mengine kuchoshana tu.

Unataka kutumia kwani uongeze chaji mkuu...?
 
wanaume wa dar kazi mnayo, ipo siku mtaambiwa mle mavi ya mbuzi na mtakula kweli
 
Mf.kutokuushughulisha mwili(Mazoezi),Lishe mbovu na hasa mazoea ya matumizi makubwa ya vitu vya sukari kuliko mboga mboga na matunda.
Kama mtu atabadili mtindo wake wa
Hiki ndio kiini hasa.

Lunch/ dinner : Chips + Juice
 
Hiki ndio kiini hasa.

Lunch/ dinner : Chips + Juice

Ni kweli kabisa mkuu vyakula vyetu vya asili vimewekwa sana pembeni matokeo yake vyakula vya hivi na vyakula vya kufungasha (junk food) ndio vimeshika hatamu mkuu.

Halaf hata mazoezi hakuna chaji lazma iishe mkuu.

Hiko ndio kiini hasa kiongozi.
 
Ni kweli, lakini mwili wa binadamu unaendeshwa na virutubisho aina 7 na kila kimoja kina kazi yake. Mfano unapopungukiwa damu unashauriwa ule vyakula vyenye madini ya chuma (Fe) kwani ndio hutumika kutengeneza damu (haemoglobin), sasa daktari akikushauri hivyo utamjibu "kama sina damu sina tu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…