Hicho ni kipepo ....kabisa.
Siyo chai hii kweli
👀Ugonjwa umekaa patamu, ila mdudu wake ndo mbaya hivo
Kama cha kilingeni
Yan acha tu na ni patamu kweliUgonjwa umekaa patamu, ila mdudu wake ndo mbaya hivo
Duh,nakuja Pm DepalUgonjwa umekaa patamu, ila mdudu wake ndo mbaya hivo
Umemuona mdudu huyoYan acha tu na ni patamu kweli
Ni stage mojawapo ya kipepeo,tusilishane matangoUgonjwa umekaa patamu, ila mdudu wake ndo mbaya hivo
Ni kuwa mwangalifu tu huyo mdudu sio poa aseeUmemuona mdudu huyo
Akijishikiza na hiyo miba yake hatoki
Ukimpa ARV anasinzia, kesho anaamka tena unampa zingine.. inakuwa kitu ya maisha 😃
Huyu huyu butterfly? 🦋Ni stage mojawapo ya kipepeo,tusilishane matango
Funga zeep. UtamkwepaNi kuwa mwangalifu tu huyo mdudu sio poa asee
Ban imeisha? 😃🤣🤣🤣Sura kama ya IBILISI
Hahahaha utaishije sasa ? Na unakufa na utamu wako🤣Funga zeep. Utamkwepa