Anayeshikwa na mzigo Wa wizi ndiye mwizi Huyo binti Wa nini hajakutwa na mzigoUnamaana gani tunaposema binti wa watu?. Kama mdude ni muuzaji na binti ni mnunuaji kwanini umwone binti hana kosa mpk kumwita eti binti wa watu!!!
Mbona kwenye kesi mahakamani hatujamwona huyo binti kama mnunuaji. Tuache ujinga.
Nyie wajinga sana. Hivi yule Mbunge wa CCM mbona mlishangilia na hamkusema kesi ya kutunga??
Una wadudu kichwani wewe...!Chikwuemeka,
Sio kweli kuwa huyo binti nfiye alimuwekea madawa mdude issue Ni hivi mdude alikuwa akifanya biashara ya madawa ya kulevya unamtumia pesa kwanza Halafu unaambiwa njoo uchukue mzigo binti wa watu akatuma pesa akaufuata mzigo kumbe polisi walikuwa wakimfuatilia mdude kwa muda mrefu akanaswa binti alikuwa Bado hajafika kuchukua mzigo akauuze Arusha
Kwa hiyo wakosoa serikali ni watakatifu hawawezi kuwa wezi,majambazi,wauza unga nk? Wazaa nje ya ndoa kama mbowe na Joyce mukya? NkHuyo mbunge wa ccm alikuwa anaikosoa serikali kama mdude cdm?
Hili nakubaliana na wewe
Ukumbuke aliyepeleka mzigo wa wizi kajulikana japo utatumia nguvu yako ya dola kumkandamiza Ukweli umejulikana hata ukimfunga itajulikana umemuonea tuAnayeshikwa na mzigo Wa wizi ndiye mwizi Huyo binti Wa nini hajakutwa na mzigo
he spoke his mind
Spika alikula mapesa kibao India kwa kuwa anaisaidia serikali yako kuwanyanyasa chadema yeye ni mtakatifu, style yenu kwa mdude imewaumbua kinoma endelea kutumia style hiyo ipo siku yatakurudia na wewe.Kwa hiyo wakosoa serikali ni watakatifu hawawezi kuwa wezi,majambazi,wauza unga nk? Wazaa nje ya ndoa kama mbowe na Joyce mukya? Nk
Aliyejulikana ni aliyekutwa nao yeye Mdude ndie mahakanani akathibitishe kuwa haukuwa wake kazi anayoUkumbuke aliyepeleka mzigo wa wizi kajulikana japo utatumia nguvu yako ya dola kumkandamiza Ukweli umejulikana hata ukimfunga itajulikana umemuonea tu
Hivi akili uwa mnaiweka wapi?KAMANDA 'MDUDE' SIO SIRI UMEJITAKIA MWENYEWE
Hivi hukumuona mwezako Roma Mkatoliki, alivyokimbilia nchini Marekani baada ya kunusurika kuuawa alipotekwa na watu wasiojulikana?
Hivi hukuwaona wenzako akina Maria Sarungi, Ansbert Ngurumo, Evarist Chahali, Mange Kimambi na Kigogo 2014 wanavyoikosoa Serikali huku wakiwa nje ya Tanzania?
Hivi Mdude hakujifunza kwa Ben Saanane au hakujifunza pale alipotekwa kwa mara ya kwanza?
Hivi ulipata ujasiri gani kuanza kuikosoa Serikali ya CCM kila kukicha mtandaoni huku ukiwa unaishi hapahapa nchini? Kwani akina Kigogo, Ngurumo, Chahali na Mange Kimambi uliona ni wajinga walipoamua kukimbilia ughaibuni?
Ndio maana nasema kuwa, Mdude Nyagali Chadema umeyataka mwenyewe, ila shukuru tu kwamba utaendelea kuwa hai gerezani hata kwa muda wa miaka 10, kuliko kama ungetekwa tena na watu wasiojulikana.
Bai bai 'SUMU YA NYIGU'
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mdude alikuwa hajulikani alipo?Ukiwa mwanaharakati unayepingana na serikali unatakiwa uoe haraka sana ili just in case something happen basi uwe umeacha japo katoto.
Ukiwa mwanaharakati unayepingana na serikali unatakiwa uachane kabisa na mademu wa mitandaoni au kufanya appointment na watu usiowajua, au uwafanyie thorough assessment kwanza kabla hujakutana nao.
Huyu jamaa kama kweli kashikwa kizembe hivyo atakiwa amewaangusha makamanda wenzie. Utakuwaje mwanaharakati mwenye njaa na papuchi?
Unforgetable
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mahakama iliyo huru kama mahakama za kenya ama South Africa hapo kusingekuwa na kesi uchunguzi ungeibua Ukweli wote na mdude angeachiwa huru, lakini kwa mahakama yako binafsi tusitegemee haki kutendekaAliyejulikana ni aliyekutwa nao yeye Mdude ndie mahakanani akathibitishe kuwa haukuwa wake kazi anayo
Mdude hakuwa agent hajui hata dawa zipoje, agent ni yule dada wa Arusha aliyetumwa kumpelekea nyumbani kwake wapate sababu ya kumfunga jelaBaada ya kufurushwa Dar na Makonda kumbe wakahamishia biashara yao Mbeya kwa Mdude?
Pole sana Mdude kwa kudanganywa uwe agent wa madawa ya kulevya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamkubali, ndiyo?Hakuna mabaya yanajificha sasa kila kitu kipo wazi kesi ya kubambikiwa hiyo
Watenda ubaya huzani kuwa watakaa huko madarakani miaka 50 huwa hawakumbuki kuwa ipo siku watastaafu na wale waliowatendea mabaya watakuwa juuKufubgwa ni sehemu ya uanarakati na alikuwa anajua hilo. Kuna cku tutaheshimiana. Nyerere na Mandela walifungwa kwa uonevu kama huo badae wakawa wakubwa. Miaka 5 badae Jiwe hatakuwa na madaraka na ma RPC wanao mbambikia kesi watakuwa wamestaafu au wamepumuzika au kubadilishwa vitengo, hapo sas ndo the Hague ya Bongo itakapo washukia. Yule Raisi mfupi wa Zambia aliwatesa watangulizi wake alipotolewa madarakani Raisi Mwanawasa alimtolea kinga ya kutoshitakiwa kupitia bunge akasulubiwa vikali. Na Tz yanawezekana. Vijana wanaotizamiwa kuchomoza kwa Uraisi miak 5 badae ni kama akina January au Nape ambao wote ni majeruhi. Unategemea nini hata kama jiwe atakuwa mbabu, watamsulubu kwa kutaifisha mali zake na vidampa wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hilo ndilo swali la msingi maana kwa yule mbunge sawa ila kwa chadema kabambikiwa siwaelewagi hawa WACHAGANyie wajinga sana. Hivi yule Mbunge wa CCM mbona mlishangilia na hamkusema kesi ya kutunga??