Mdude Chadema awaanika waliomteka

Asije tu akatuambia walikuwa watu warefu au wafupi walikuwa wamevaa miwani na kuziba nyuso zao halafu wanaongea lafudhi kama za Msumbuji bla blaa!

Taarifa hizo asituletee!
 
mashaka yangu yalikuja hapo hapo mkuu yaani katika siku zote alizokuwa mateka anatuambia alikuwa amepoteza fahamu hizo hakuwafahamu watekaji.Hapa hamna jipya ni maboresho madogo tu ya yaliyopita
 
Atazunguuuka weee ila kuwataja kwa majina hatoweza japo ndio kiu yetu kubwa.....naweza sema atatupotezea muda tu.wabongo hawana ujasiri huo
Ndege mjinga, hivi ndani ya mateso, vipigo na njaa huwa kuna muda wa watekaji kujitambulisha majina yao halisi? Au unaropoka ili nawe ionekane haukuhusika na utekaji huu!
 
mashaka yangu yalikuja hapo hapo mkuu yaani katika siku zote alizokuwa mateka anatuambia alikuwa amepoteza fahamu hizo hakuwafahamu watekaji.Hapa hamna jipya ni maboresho madogo tu ya yaliyopita
Wanaokuteka siyo watakaokushughulikia, wanabadilishana.
 
Mambo ya namna hii ndio hupelekea CHADEMA Kudhaniwa kwamba inahusika kuwateka wanachama wake ama kutengeneza matukio ya kiugizaji utekaji ili kupata political stunts...
 
Tumshukuru Mungu kwa kuonekana kwa mdude nyagali haya yakuwataja watekaji wala asihangaike dogo hana hata ulinzi wakimteka tena si watamuua kabisa
 
Mambo ya namna hii ndio hupelekea CHADEMA Kudhaniwa kwamba inahusika kuwateka wanachama wake ama kutengeneza matukio ya kiugizaji utekaji ili kupata political stunts...
Kumbe na Mo ni mwana Chadema.
Yasikie tu kwa mwenzio yasije yakakukuta.
Kama kweli Chadema ndio wasiojulikana wangekuwa wameshakamatwa kitambo.
Hukusikia waliotaka kumteka Zakaria yule mfanyabiashara Wa Musoma,bahati nzuri alikuwa na bastora akawawahi,vinginevyo tungekuwa tunaongea mengine.
 
Sawa Mkuu nimekuelewa..
 
Tunapoendelea kumlaumu huyo jamaa kwa kumtaka aseme yale tunayoyataka kuyasikia ni vyema tukavaa viatu vyake alafu ukajiweka wewe kwenye nafasi yake.
 
Huyu ndo mwanaume sasa sio ROMA wala MO. Mwanaume lazima uwe jasiri.
 
Hii kaandikiwa au kaandika yeye mwenyewe? maana sijaona hata tusi moja.Si kawaida yake kukosoa kistaarabu.
Au ndo tuseme kajifunza sasa namna bora ya kukosoa?
 
Kadri ukatili unavyoendelea tuwatarajie kina MDUDE WENGI.
 
heche na lema wanaweza kutengeneza vikundi vya kigaidi.

Wanamuahidi kwenda kumficha Nairobi ili akatukane vizuri huko??

Who knows wanauwezo wa kufanya Nini Cha hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…