Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Muhindi mmoja alikamatwa akikukojoa njiani, akaambiwa kulipa faini ya shs 1000 lakini yeye Akalipa 1500, kuulizwa hiyo 500 zaidi yanini ..Akasema,,, wakati iko nakujoa iko jamba kidogo....