Mdondo Huo...

Ngoja tumsaidie Camaraderie alichotaka kukionyesha:

 
Sasa akifanywa kitu mbaya atasema MEDHALILISHWA KIJINSIA???Hapo alipo keshamaliza KUJIDHALILISHA......BUre taabu sana
 
mkuu katavi kama si za bure basi itakuwa kwa hisani ya watu wa marekani!!!

Tabu ya dada zetu hawa kutaka bia ya vuguvugu...inabidi zije mbili moja moto moja baridi....hapo lazima ''KITUMBUA'' kimeingia mchanga kama si fangasi
 
Huyu alikuwa anafakamia akiwa amekaa chini au? Maana hapo chini naona vyupa 2, najaribu kupata uelewa kwa kuwa chupa moja iko nusu na nyingine ikiwa empty.
 
duh!! Kweli pombe si chai. Sijui kama yupo salama!
 
Kuna habari za huyu dada kwenye magazeti leo anadai bia alizokunywa ni 3 tu lakini kuna muda alienda chooni aliporudi na kuendelea kunywa akaishiwa nguvu anahisi kuna mtu alimwekea madawa ya kulevya.
 
mie siwaamini magazeti ua udaku kama umeitoa huko,nahisi wanamtafuta mtu apozi ili wampige picha aonekane kalewa hajitambui,sidhani kama umelewa utakumbuka kuishikilia simu kama alivyoishikilia huyo dada,anaonekana kabisa amepozi:mod:
 
mie siwaamini magazeti ua udaku kama umeitoa huko,nahisi wanamtafuta mtu apozi ili wampige picha aonekane kalewa hajitambui,sidhani kama umelewa utakumbuka kuishikilia simu kama alivyoishikilia huyo dada,anaonekana kabisa amepozi:mod


Absolutely true!
Ningekuwa mwalimu na nimekutungia mtihani ungekula mia kwa mia...hiyo picha ni usanii mtupu..sijui lengo ni nini..Tanzania mmh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…