Mdomo wa Lissu haujawahi kuwa na adabu wala hekima

Ndugu zangu Watanzania,

Huwa nashangaa sana ni vipi Lissu ni kiongozi ndani ya CHADEMA, ni vipi watu wenye akili timamu na wanaojitambua wanaweza kumpatia Lissu uongozi wa juu wa chama, nafasi inayohitaji mtu mwenye hekima, busara, staha na nidhamu ya kiuongozi?

Ni vipi chama kikuu cha upinzani kinaweza kumpa uongozi mtu mropokaji na asiye juwa aongee nini awapo jukwaani? Ni vipi Lissu aliyekosa adabu, mbaguzi, mropokaji na mwenye mihemuko anaweza kuwa kiongozi wa juu ndani ya chama katika nafasi anayokuwa kama mlezi wa chama hasa vijana na viongozi wengine wanaochipukia?

Kipi unachoweza kujifunza kutoka kwa Lissu kiuongozi? Ni mtu ambaye mdomo wake haujawahi kuwa na adabu wala staha wala hekima wala busara za aina yoyote ile ya kiuongozi. Ni aibu na fedheha kubwa sana kuona mtu mzima kama Lissu akitoa maneno ya kibaguzi na chuki pasipo hoja za msingi.

Ni kukosa kwa adabu na hekima kwa Lissu na malezi mabaya aliyokulia na kukuzwa nayo ,amewahi kumtukana Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ndani ya Bunge la katiba. Jambo ambalo liliishitua nchi na Taifa zima kwa ujumla wake. Kumtukana mtu na kiongozi anayeheshimika na kuheshimiwa na Dunia nzima. Lakini kwa kukosa kwake adabu alimtukana mtu ambaye alikuwa amelala ardhini na hana uwezo wa kufumbua mdomo kujitetea.

Kwa hakika hii ilikuwa ni laana kubwa sana inayoendelea na itakayoendelea kumuandama mtu huyu aliyekosa adabu na mwenye kuonekana kama ana matatizo fulani kichwani mwake. Sasa baada ya kulewa na uhuru uliotolewa na kuruhusiwa na serikali ya Rais Samia ,ameanza kutoa lugha za kibaguzi, kuchochea machafuko na kuhamasisha kuvunjwa kwa muungano wetu adhimu. Lakini hajaishia hapo bali amekwenda mbali zaidi kwa kuanza kumshambulia Rais wetu mpendwa pamoja na Familia yake.

Hii yote ni kutafuta chokochoko na kutaka ajibiwe ili aendelee kubwatuka zaidi.jambo naloamini kuwa Rais wetu hatamjibu chochote na badala yake atampuuza na kuendelea na kazi yake ya kuwatumikia watanzania na kuwainua kiuchumi.

Kizuri zaidi ni kuwa watanzania wamekataa kabisa kumsikiliza na kumuunga mkono ujinga wake wa kutaka kutugawa kama Taifa pamoja na kutaka kupandikiza mbegu ya chuki na uhasama sisi kwa sisi. Watanzania wamegoma kubeba mawazo hayo ya kijinga vichwani na akilini mwao na badala yake wanaendelea kulaani kauli hizo chafu na zisizokubalika kabisa hapa Nchini. Na wameahidi kuwaadhibu kisawasawa katika sanduku la kura ikiwa watashiriki uchaguzi wowote ule.

Rais wetu namuomba aendelee na kazi za kugusa maisha ya watanzania na wala asimjibu chochote kile huyu mtu anayeonekana kukosa adabu na malezi mazuri. Maana lengo lake anataka ajibiwe .chapa kazi Rais wetu na songa mbele kwa kishindo kwa kuwa mamilioni ya watanzania wapo upande wako.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
kama walihitaj heshima kwanin walikuwa wanakatika viuno kipind wanatafuta kiti mwaka 2020 kuwa mwana ccmu kunahitaj kujitoa akili
 
Kwa hiyo matusi na lugha za kibaguzi ndio unaona ushujaa? Ndio sifa? Ndio uongozi huo? Ndio kitakachowapatia kura hicho?
Wewe mzee hebu kuwa serious. Hapa ni JamiiForums, platform yenye watu wenye akili, hapa sio Facebook kwa wasichana wanaopost picha wakiwa wamebinua matako. Kwahiyo kabla ya kupost kitu, kifikirie mara 2 ndio upost.

1). Kwa akili yako unaona hapo Lissu katukana? Kwanini unasema anaongea matusi? Kama katukana si mumpeleke mahakamani? Unakuja kutulilia nini huku? Mmepelekeni mahakamani, alafu muone atakachowafanya.

2). Unavyosema Lissu mbaguzi, kwasababu kamuita Rais Mzanzibari? Kwani Rais mwenyewe si ameshasema ukimuuliza yeye ni nani atakujibu yeye ni Mzanzibari? As long as hatuvunji sheria tutaendelea kumuita Mzanzibari. Kama huwezi kuvumilia nenda mahakamani sio unakuja kulia lia huku. Huku kuna big boys only ambao wana akili timamu. Hizo cheap propaganda zipeleke vichochoroni huko kwa wale mmaowapa tshirt ili wawapigie kura.

Next time ukipost kitu hebu tuheshimiane. Hii ni platform ya brains za kujadili economies za nchi zinaendaje, sio propaganda za huko vichochoroni kwenu
 
Naona umeandika ujinga mtupu na kupaniki juu. Ni wajinga pekee aina yako wanaoweza shabikia ubaguzi na kutugawa watanzania.
 
Ni vipi mtu mwenye akili Timamu unaweza kuunga mkono kauli za kibaguzi na ubaguzi za Lissu? Ni vipi unaweza unga mkono kauli zake za kichochezi na kutaka kupandikiza mbegu za chuki kwa wananchi? Lissu anapaswa kupingwa na kukemewa na kila mtanzania mwenye akili Timamu na mwenye mapenzi mema na Taifa letu.
Hizi ndizo Hoja za Lisu wewe Kiherehere,tunaomba uzijibu!
1. Rais sio mzanzibar?

2. Bandari hazijauzwa?

3. Wamasai hawajahamishwa?

4. Mtanganyika anaweza kumiliki ardh zanzibar?

5. Mtanganyika anaweza kupata nafasi ya uongozi zanzibar?

6. Mtanganyika anaweza kupiga kura zanzibar?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huwa nashangaa sana ni vipi Lissu ni kiongozi ndani ya CHADEMA, ni vipi watu wenye akili timamu na wanaojitambua wanaweza kumpatia Lissu uongozi wa juu wa chama, nafasi inayohitaji mtu mwenye hekima, busara, staha na nidhamu ya kiuongozi?

Ni vipi chama kikuu cha upinzani kinaweza kumpa uongozi mtu mropokaji na asiye juwa aongee nini awapo jukwaani? Ni vipi Lissu aliyekosa adabu, mbaguzi, mropokaji na mwenye mihemuko anaweza kuwa kiongozi wa juu ndani ya chama katika nafasi anayokuwa kama mlezi wa chama hasa vijana na viongozi wengine wanaochipukia?

Kipi unachoweza kujifunza kutoka kwa Lissu kiuongozi? Ni mtu ambaye mdomo wake haujawahi kuwa na adabu wala staha wala hekima wala busara za aina yoyote ile ya kiuongozi. Ni aibu na fedheha kubwa sana kuona mtu mzima kama Lissu akitoa maneno ya kibaguzi na chuki pasipo hoja za msingi.

Ni kukosa kwa adabu na hekima kwa Lissu na malezi mabaya aliyokulia na kukuzwa nayo ,amewahi kumtukana Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ndani ya Bunge la katiba. Jambo ambalo liliishitua nchi na Taifa zima kwa ujumla wake. Kumtukana mtu na kiongozi anayeheshimika na kuheshimiwa na Dunia nzima. Lakini kwa kukosa kwake adabu alimtukana mtu ambaye alikuwa amelala ardhini na hana uwezo wa kufumbua mdomo kujitetea.

Kwa hakika hii ilikuwa ni laana kubwa sana inayoendelea na itakayoendelea kumuandama mtu huyu aliyekosa adabu na mwenye kuonekana kama ana matatizo fulani kichwani mwake. Sasa baada ya kulewa na uhuru uliotolewa na kuruhusiwa na serikali ya Rais Samia ,ameanza kutoa lugha za kibaguzi, kuchochea machafuko na kuhamasisha kuvunjwa kwa muungano wetu adhimu. Lakini hajaishia hapo bali amekwenda mbali zaidi kwa kuanza kumshambulia Rais wetu mpendwa pamoja na Familia yake.

Hii yote ni kutafuta chokochoko na kutaka ajibiwe ili aendelee kubwatuka zaidi.jambo naloamini kuwa Rais wetu hatamjibu chochote na badala yake atampuuza na kuendelea na kazi yake ya kuwatumikia watanzania na kuwainua kiuchumi.

Kizuri zaidi ni kuwa watanzania wamekataa kabisa kumsikiliza na kumuunga mkono ujinga wake wa kutaka kutugawa kama Taifa pamoja na kutaka kupandikiza mbegu ya chuki na uhasama sisi kwa sisi. Watanzania wamegoma kubeba mawazo hayo ya kijinga vichwani na akilini mwao na badala yake wanaendelea kulaani kauli hizo chafu na zisizokubalika kabisa hapa Nchini. Na wameahidi kuwaadhibu kisawasawa katika sanduku la kura ikiwa watashiriki uchaguzi wowote ule.

Rais wetu namuomba aendelee na kazi za kugusa maisha ya watanzania na wala asimjibu chochote kile huyu mtu anayeonekana kukosa adabu na malezi mazuri. Maana lengo lake anataka ajibiwe .chapa kazi Rais wetu na songa mbele kwa kishindo kwa kuwa mamilioni ya watanzania wapo upande wako.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jinga kabisa wewe
 
UWE NA ADABU UNAPOTAJA VIONGOZI WA KITAIFA husiharibu utu wako kwa vipande vya fedha unayolipwa. Ukweli nimesoma kichwa cha habari tu, nikasikia kichefuchefu.
 
Jibu hoja za Lisu kama Samia kakaa kimya we ni nani unajaribu kufurukuta?
 
Attachments

  • IMG_6223.jpeg
    IMG_6223.jpeg
    234.2 KB · Views: 2
Watanzania hatuwezi kumkalia kimya mtu yeyote yule anayetaka kutugawa watanzania kwa misingi ya aina yoyote ile kama afanyavyo Lissu. Ni lazima tumpinge na kumshambulia kwa nguvu zote.
Kwahiyo anakaa kimya kwa mzanzibari anaeuza ardhi ya wamasai na bandari wewe na ukoo ulikotoka ni machizi
 
Hizi ndizo Hoja za Lisu wewe Kiherehere,tunaomba uzijibu!
1. Rais sio mzanzibar?

2. Bandari hazijauzwa?

3. Wamasai hawajahamishwa?

4. Mtanganyika anaweza kumiliki ardh zanzibar?

5. Mtanganyika anaweza kupata nafasi ya uongozi zanzibar?

6. Mtanganyika anaweza kupiga kura zanzibar?
Mkuu hapo unamtawaza makalio bata
 
Back
Top Bottom