Mdomo huwa unaanza kunuka wakati gani?

Unapokuwa una observe fasting ama sawm mdomo pia huwa na harufu.

Unapokuwa unafanya intermittent fasting kuna kipindi kinaitwa autophagy huwa na harufu pia.

Usafi wa kinywa bila kusugua ulimi ukabaki pink utakuwa na harufu mbaya tu.

Meno yakiwa yametoboka huwa yanahifadhi vyakula kwenye hayo mashimo na decomposition husababisha harufu pia.
 
Back
Top Bottom