Hakuna dini yeyote duniani au kitabu cha dini yeyote duniani kinachotangaza, oeni "mmoja tu" isipokuwa Qur'an. Jee unalijuwa hilo?
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
King'asti na Faiza sidhani kama mnakoelekea mtamaliza. BTW Hivi kubadili dini ndo suluhisho eenh! Hizi dini zisitufanye tushindwe kutumia common sense Kha!
Kila kitu dini dini waliotuletea wenyewe wanaendelea ila sisi zinatuwehusha.
Samehe saba mara sabini maana yametokea tayari pia wakati unafanya fumanizi ni wazi ulijua kamwe ndgyo hawezi kukusaliti
ukasikia kicheko cha mwanamme ndani...ukakuta wako uchi wana sex!!!hao walikuwa wanasex huku wanacheka vicheko vya sauti!!
Msiachane isipokuwa kwa zinaa tu,apo unasubiri nini nae kakiri??
mke wako ni mwanamme au mwanamke?Mi mkristo ni miaka 5 tangu nifunge ndoa na mke wangu.
Ni Mwezi 1 tangu huu mkasa kunipata.
Nilisafiri kibiashara na niliaga kuwa sitarudi kwa siku tatu mbele (nikawaida yangu ninapokuwa na safari za kibiashara), kwa siku hiyo moyo ulikataa kabisa kuendelea na safari niliamua kurudi nyumbani na nikapitia na zawadi za wanangu, mishare ya saa 3 usiku nilifika nyumbani nikasikia vicheko vya mwanaume ndani, sikujua ni nani niliendelea kusogea mpaka dirishani kuchungulia nikaona mke wangu na mwanaume wakiwa uchi wa mnyama (hawakuzima taa) wakifanya sex, niliwahi mlangoni na kufunga mlango kwa nje na nikaanza kupigia simu rafiki na jamaa ili kunipa msaada (wakati huo sijui kama ni mdogo wangu).
kufungua mlango daaa! mdogo wangu....! Iliniuma sana hata wazazi wetu na ndugu pia.
Mdogo wangu alifukuzwa nyumbani baada ya kikao cha ukoo.
Shida inayosumbua moyo wangu kwa sasa ni ujauzito aliopewa mke wangu na mdogo wangu.
Maana tuna miezi 3 hivi tena yeye mwenyewe alishinikiza kutumia mipira ili kupanga uzazi lakini kwa sasa anaujauzito na yeye kakiri mbele ya wazazi kuwa ujauzito ni wa mdogo wangu.
Wazazi mamenishauri kubaki na mke wangu lakini nafsi yangu kwa sasa hata kule kumsogelea tu haitaki any way ni mengi lakini kwa haya machache yananifikirisha sana na nakosa jibu yaani nimuache mke wangu(nimefunga ndoa ya kikristo) au nitoe mimba(dhambi)
sijielewi kwa kweli naombeni msaada wanajamvi.
Mi nauwaza huo mlango wake wa chumbani alioufunga kwa nje,sijui anasafiri na funguo????
Wazazi mamenishauri kubaki na mke wangu lakini nafsi yangu kwa sasa hata kule kumsogelea tu haitaki any way ni mengi lakini kwa haya machache yananifikirisha sana na nakosa jibu yaani nimuache mke wangu(nimefunga ndoa ya kikristo) au nitoe mimba(dhambi)
sijielewi kwa kweli naombeni msaada wanajamvi.
Huyo malaya muachie mdogo wako tu mkuu uzuri hukuzaa nayeMi mkristo ni miaka 5 tangu nifunge ndoa na mke wangu.
Ni Mwezi 1 tangu huu mkasa kunipata.
Nilisafiri kibiashara na niliaga kuwa sitarudi kwa siku tatu mbele (nikawaida yangu ninapokuwa na safari za kibiashara), kwa siku hiyo moyo ulikataa kabisa kuendelea na safari niliamua kurudi nyumbani na nikapitia na zawadi za wanangu, mishare ya saa 3 usiku nilifika nyumbani nikasikia vicheko vya mwanaume ndani, sikujua ni nani niliendelea kusogea mpaka dirishani kuchungulia nikaona mke wangu na mwanaume wakiwa uchi wa mnyama (hawakuzima taa) wakifanya sex, niliwahi mlangoni na kufunga mlango kwa nje na nikaanza kupigia simu rafiki na jamaa ili kunipa msaada (wakati huo sijui kama ni mdogo wangu).
kufungua mlango daaa! mdogo wangu....! Iliniuma sana hata wazazi wetu na ndugu pia.
Mdogo wangu alifukuzwa nyumbani baada ya kikao cha ukoo.
Shida inayosumbua moyo wangu kwa sasa ni ujauzito aliopewa mke wangu na mdogo wangu.
Maana tuna miezi 3 hivi tena yeye mwenyewe alishinikiza kutumia mipira ili kupanga uzazi lakini kwa sasa anaujauzito na yeye kakiri mbele ya wazazi kuwa ujauzito ni wa mdogo wangu.
Wazazi mamenishauri kubaki na mke wangu lakini nafsi yangu kwa sasa hata kule kumsogelea tu haitaki any way ni mengi lakini kwa haya machache yananifikirisha sana na nakosa jibu yaani nimuache mke wangu(nimefunga ndoa ya kikristo) au nitoe mimba(dhambi)
sijielewi kwa kweli naombeni msaada wanajamvi.
NaamSitamwacha mke wangu ila kwa dhambi ya uzinzi tu... Haina sababu ya kukua shetan kama hilo ndani ya nyumba. Huu ni wakat wa kusafisha takataka kama mmefukuza mdogo wako ambaye ni damu yenu kwann mnabaki pepo lingne ndani ya nyumba?? Leo umemfumania na mdogo wako lakn kesho utamfumania na rafki yako.. Fukuza pepo hilo ndan ya nyumba
Pole sana mkuuMi mkristo ni miaka 5 tangu nifunge ndoa na mke wangu.