Mdogo wangu anataka kuomba chuo tena mwaka huu baada ya kuacha, atakubaliwa?

NANGA WA KWATA

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
347
232
Nina mdogo wangu alikuwa anasoma degree tangu mwaka 2014 ila ameacha chuo mwaka huu baada ya kugundua kozi aliyokuwa anasoma haina msaada kwake, anataka aapply upya tena kupitia TCU inawezekana na utaratibu ukoje??? Je atume? Je? Bodi ya mkopo aaply upya? Maana alikuwa amepata loan board. Je? Loan board aapply tena??

Karibuni kwa hoja wasomi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom