Mdogo wangu ananitaka kimapenzi

Mdogo wangu ananitaka kimapenzi

Mwache afe tutazika......usiku mwema.Kwahiyo ukimpa ndo ataishi milele?anatishia kufa?aliyemuona karudi nani?
 
Habarini wapendwa. Nimekuja mbele yenu mnipe mawazo. Me nina mdog wang mtot wa mama mkubwa ambae me namuita kaka, ananipenda sana. Me nimemkatalia bt haelewi yani ndo kma namchochea. Anasema ye hajui cha undugu wala nini, kikubwa moyo wake upo kwangu. Kiukwel najckia aibu kwa anavyofanya coz namuheshm sana. Na amejaribu kunywa sumu akaokolewa anadai eti kama cmtak atajiua. So nisaidien guyz me nataka TUHESHMIANE kma zaman yeye ni mdogo wangu. Pia me sitak kuwa ktk mahusiano kwasasa hata kama asngekuwa ndugu yangu! Help plz.
Mgee tu,
But Kwa Siri!
 
Kwani huyo dada yako ni beautiful?????Kama humtaki mlete kwangu wala hatakusumbua tena.
 
Unaogopa kuwa atajiua,
je nyumbani kwenu hakuna kabuli hata moja mpaka unaogopa kufa kwake?

mwambie AJINYONGE.
 
Hiyo kali.... jamaa mshipa wa aibu umekatika nin..??
hilo swala limalizeni kimya kimya maana mkishirikisha watu weng mwisho wa siku lita tatulika lakini pia fedhea ita baki kwenu wote kwamba mshatakana.. mtakuwa mnatolewa mifano hovyo hata na hao hao ndugu pindi watakapo kuwa. Mbali.
Muelimishe huyo kk ako domo zege atafute papuchi kwa dem mwingine, wanawake mpo weng bwn au ikishindikana mtumie condom ila iwe mara moja tu na asikae sana.

Asikae sana ndo nn?
 
JF bhana hua haiishi hamu ,hii naona ingeenda kule kwenye jukwaa la matangazo .
 
Kaka yako anakukazia kutokana na msimamo wako ungekuwa mkali asingekusumbua mtafutie rafiki yako sijajua umri wenu labda tatizo pia
 
Kupendwa kimapenzi na kaka yako ni matunda ya uhusiano wako nae hapo nyumbani. Hebu fikiri unakaa na kaka yako halafu unaongea nae stori za mapenzi, kuangalia pamoja muvi za mapenzi na kumvalia nguo za kumtia hamu unategemea nini?

Kama ungeishi maisha ya kuheshimiana na ku- keep distance asingepata nafasi ya kukuambia upuuzi labda tu kama uchizi umemwingia.

Ushauri - Chunguza maisha yenu na wazazi wenu halafu BADILIKA!!!!!.. Ukiishi kama utamaduni wetu wa kuheshimiana unavyotaka huna cha kuogopa.. pia jitahidi kumwomba mola amuondolee kaka yako pepo la ngono...
 
Hakuna ndugu ambaye haina shaka kama mtoto wa mamdogo/kubwa na dada. Watoto wa anko, bamdogo/kubwa wanaweza kuwa walisingiziwa tu,jamaa liliiba dingi kasingiziwa. Huyo ni ndugu yako kabisa huwezi linganisha na binamu yako. Kaa naye na uongee naye labda kama na wewe unamtamani utamuonea huruma. Wacha ajinyonge tu, si wengi wameshakufa?
 
Habarini wapendwa. Nimekuja
mbele yenu mnipe mawazo. Me nina mdog wang mtot wa mama mkubwa ambae me
namuita kaka, ananipenda sana. Me nimemkatalia bt haelewi yani ndo kma
namchochea. Anasema ye hajui cha undugu wala nini, kikubwa moyo wake upo
kwangu. Kiukwel najckia aibu kwa anavyofanya coz namuheshm sana. Na
amejaribu kunywa sumu akaokolewa anadai eti kama cmtak atajiua. So
nisaidien guyz me nataka TUHESHMIANE kma zaman yeye ni mdogo wangu. Pia
me sitak kuwa ktk mahusiano kwasasa hata kama asngekuwa ndugu yangu!
Help plz.

khaaaa!!,yaani nyege zake zoote anataka azidondoshee kwa dada yake,unamlegezea sana wewe inaonekana kimoyomoyo unataka kumpa,usichomuonya ni nn,eti anatishia kujiua,mwache afe,kwani akifa yeye dunia itasimama,amekufa che guevara itakuwa pimbi tu ka yeye?
 
mweleze haiwezekana kama anaendelea kusumbua waelelze familia wamkanye na kumshauri
 
Habarini wapendwa. Nimekuja mbele yenu mnipe mawazo. Me nina mdog wang mtot wa mama mkubwa ambae me namuita kaka, ananipenda sana. Me nimemkatalia bt haelewi yani ndo kma namchochea. Anasema ye hajui cha undugu wala nini, kikubwa moyo wake upo kwangu. Kiukwel najckia aibu kwa anavyofanya coz namuheshm sana. Na amejaribu kunywa sumu akaokolewa anadai eti kama cmtak atajiua. So nisaidien guyz me nataka TUHESHMIANE kma zaman yeye ni mdogo wangu. Pia me sitak kuwa ktk mahusiano kwasasa hata kama asngekuwa ndugu yangu! Help plz.


Nawe unampenda? kama ndio sioni tatizo, jitambulisheni kwa wazazi then mtawasikia watakalosema. kama hapana mwambie sikupendi.
 
mwambie aandike barua kwa mama yako kuomba uumpe kama mama akikubali na mama yake pia basi ngoma inogile.
 
Back
Top Bottom