Mdogo wangu ananitaka kimapenzi

Mdogo wangu ananitaka kimapenzi

Ana mapepo huyo anahitaji maombezi
 
Eti, namheshimu mara anajiua mara sitaki kuwa na mahusiano.
Hizi TV zinatumalizia watoto.
 
Ndugu ni yule umezaliwa nae tumbo moja otherwise huyo sio ndugu mpe mambo na utulie nae tu....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wewe kama unaona ni sawa mpe. Kama unaona ni vibaya mwache anywe sumu. Utuletee mrejesho baada ya kufikia uamuzi.
 
Habarini wapendwa. Nimekuja mbele yenu mnipe mawazo. Me nina mdog wang mtot wa mama mkubwa ambae me namuita kaka, ananipenda sana. Me nimemkatalia bt haelewi yani ndo kma namchochea. Anasema ye hajui cha undugu wala nini, kikubwa moyo wake upo kwangu. Kiukwel najckia aibu kwa anavyofanya coz namuheshm sana. Na amejaribu kunywa sumu akaokolewa anadai eti kama cmtak atajiua. So nisaidien guyz me nataka TUHESHMIANE kma zaman yeye ni mdogo wangu. Pia me sitak kuwa ktk mahusiano kwasasa hata kama asngekuwa ndugu yangu! Help plz.

Chezea kujiua...wanaojiua huwa hawatishii, wanatenda kimya kimya!!!Mwambie ajiue
 
Back
Top Bottom