Bambanza jr.
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 355
- 36
Heshima kwenu! Sijui nimfanyeje mdogo wangu wa tumbo moja, kwan nilimwamini sana hata nikimkuta na shemeji yake sikuwa na shaka kwamba kinaweza tokea chochote kibaya lakini nashangaa dogo anafunua uozo wangu wote, mara amueleze mchumba angu madem nliodat nao long time! Nifanyeje jamani?
Unaishi na mdogo wako nyumba moja? Kama vipi mrudishe kijijini asikuharibie maisha, kwanza unaweza kuta anamtongoza shemeji yake kijanja.
Note:Jifunze kutoa like basi hata kama unatumia cm ndio mwaka mzima haujagusa PC?(joke)
Kwanza: Anachokifanya mdogo wako si ustaarabu hata kidogo. Hakupaswa yeye kuingilia mahusiano yako na huyo dem wako hata kidogo. Kwa sababu ni mdogo wako, muite na umuonye aache hiyo tabia na kama ataendelea kufanya huo umbea utamtimua nyumbani.
Pili: Na wewe Bambanza jr, hapo penye red inaonyesha mwenendo wako wa kitabia si mzuri na inawezeka ndiyo sababu ya huyo mdogo wako kumuonea huruma shemeji yake mtarajiwa kuwa anaingia choo cha kike kwa kuwa na wewe. Jaribu kujiheshimu na kuwa na tabia njema uwanyime watu kitu cha kukusema. Saa nyingine matatizo ya kusemwa yanatokana na ubaya wa tabia na mienendo yetu katika jamii.
thanx, lkn sipo hivyo siku hizi!
Heshima kwenu! Sijui nimfanyeje mdogo wangu wa tumbo moja, kwan nilimwamini sana hata nikimkuta na shemeji yake sikuwa na shaka kwamba kinaweza tokea chochote kibaya lakini nashangaa dogo anafunua uozo wangu wote, mara amueleze mchumba angu madem nliodat nao long time! Nifanyeje jamani?
Heshima kwenu! Sijui nimfanyeje mdogo wangu wa tumbo moja, kwan nilimwamini sana hata nikimkuta na shemeji yake sikuwa na shaka kwamba kinaweza tokea chochote kibaya lakini nashangaa dogo anafunua uozo wangu wote, mara amueleze mchumba angu madem nliodat nao long time! Nifanyeje jamani?
mfunue
Weeeeeeeee! Kwa hiyo wewe vitu vyote vizuri unakula na ndugu zako?hiko kichwa cha habari nilidhani anamfunuwa chupi, nikwambie kizuri kula na nduguyo.
alichokifunika