Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
naishi na mdogo wangu wakiume anasoma fm3 ila licha ya ujeuri wake ananipa mtihani msichana wa kazi ninayepata anamtaka kimapenz tena wakati mwingine huwalazimisha msichana na wakimkataa anawapiga visa kibao hivyo wanaondoka. juz nmepata kaschana kenye nidham kweli amekuja kakaa siku 4 nkaenda safar ya siku moja usiku mtoto wawatu hajalala analazimishwa kutoa ishu kakataa akapigwa kofi la usiku mwema. kumrudisha kijijin naogopa lawama wasije sema nimemuachisha shule angekuwa na maisha mazur. napata mtihani nimejaribu kuzungumza naye mara nyingi but haachi hadi nikamwambia mwl wa nidhamu akaadhibiwa shule lakin wapi najuta uamuzi wakumchukua nimsomeshe
ndo kavunja ungo nini?