Alinilazimisha nitoe mimba

Alinilazimisha nitoe mimba

Bas jibu simple ukijifungua akawa mkubwa usimpeleke kwa baba ake nenda nae kama kurogwa mrogwe wote na mwanao
 
kama kuloga angeloga tangia mimba.....acha uwoga.....
 
Kwel kbx na hivi hakumhitaj hapo kabla angeshaiharb anavojua yey sa hv sizn km ana la kufny mtoto akihitj we nenda nae na rud nae ... anajua kuroga awaroge wote.. cmpooo
 
Shosti usijitie BP, kuanzia mimba mpaka mtoto kazaliwa wewe labda na family yako ndio mnamtizama huyo mtoto, sasa aende Kwa baba ili iweje? Ningekua wewe ningesha malizana mpaka na ukoo wake wote , haendi kuwaona wala sina story nao. Na hata akiwa mkubwa babangu Yuko wapi huyo utakae kua nae ndio babake Kwa kipindi hicho... Usifikirie bado mapema Sana ..
 
mi tushamalizana na ukoo wake nayeye tangu timbwili lakutoa mimba weee mtoto ana mwaka na miezi nane hata sura hamjui nilimwambia tangu mimba ya miez miwili asahau kama aliwah kunijua kanitishia nitamtafuta lakini siku zinavyoenda ndoo anafutika kabisa. thanx for your comment friends.
 
Kuna mabalaa yakimila mkuu hujawaza hilo?? unaweza kuta mtoto akaanza kusumbua tu ukubwani au akawa na tabia ambazo hazieleweki kisa hujampeleka kwa babaake au ukoo wao
 
mi tushamalizana na ukoo wake nayeye tangu timbwili lakutoa mimba weee mtoto ana mwaka na miezi nane hata sura hamjui nilimwambia tangu mimba ya miez miwili asahau kama aliwah kunijua kanitishia nitamtafuta lakini siku zinavyoenda ndoo anafutika kabisa. thanx for your comment friends.

maisha yabado yanaendelea dadaangu na mtoto bado mdogo sana kusema umeanza kumsahau, kama hakuna madhara mpeleke mtoto amjue babaake, ila usimuache akaenae. haya mambo ni makubwa sana kwako kwasasa na madhara yake utayaona baadae sio sasa.
 
Kumuomba mungu ndio silaha yako, wewe muombe mungu atakusaidia mwanao atakua bila hata ya matatizo na usiweke moyoni kuwa baba yake atamloga always ukiwa unamuogopa shetani ndio na yeye anakutisha
 
mtalingolo kama kuzaa hata mbwa anazaa. tangu tuachane nikaribu miaka mitatu. alijiamin nitarudi kwa hayo mauzauza yake nikaamua kusimama imara kwakuwa ushirikina nimakatazo ya m/mungu hawez tena kunifanya lolote.KULIKO MWANANGU AENDE KUFANYWA DAWA YA VIBUYU VYA UKOO NIMEJITOSA NTAKUFA NAE. NA MUNGU ANITIE NGUVU.
 
thanx. mafikizoko hata nlivyokataa kutoa nakuachana alinambia labda kama sio mwanaume nitamtafuta kws udi na uvumba.nkamwanbia yuko mungu asiyeoenda watu kama yeye atanipigania . and now am happy anaishia kutuma watu kuomba suluhu. afie mbali huko
 
Sawa basi na usimame imara katika ibada,
 
Mungu ndo kila kitu mpendwa
thanx. mafikizoko hata nlivyokataa kutoa nakuachana alinambia labda kama sio mwanaume nitamtafuta kws udi na uvumba.nkamwanbia yuko mungu asiyeoenda watu kama yeye atanipigania . and now am happy anaishia kutuma watu kuomba suluhu. afie mbali huko
 
mis strong he is very desent kwake napajua ila alificha tulivyogombana ndo kumkamata akiweka dawa kwangu du ni mungu tu sikuamini
 
huyo binti atakuja kua anaoptea potea kama yule mtoto hapyness aneonyeshwa ITV, mara zanzibar mara dar.....
dawa ni kumuomba MUNGU awalinde tu.....
 
Bas jibu simple ukijifungua akawa mkubwa usimpeleke kwa baba ake nenda nae kama kurogwa mrogwe wote na mwanao

Hii stori mbona haieleweki? Inaonesha tayar keshazaa mtoto Wa kike wewe@Mamaafacebook unasemea mimba! Kwani kipi ni kipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom