Mdogo wangu anakaribia kukosa mke kisa dini tofauti

Mdogo wangu anakaribia kukosa mke kisa dini tofauti

Hii post haijapata msabato hata mmoja walau kurudisha kombora?...
I will try..

Yesu mwenyewe alikwenda sinagogi na akafundisha, by then ilikuwa jumamosi.

Alikufa siku ya maandalio ya sabato (ijumaa), akapelekwa kaburini jioni muda wa kuandaa maiti ulikosekana akazikwa hivyo hivyo.

Jumapili asubuhi wakawahi kwenda kumpaka mafuta waliyoshindwa kumpaka ijumaa ndio wakakuta tayari kashafufuka

Sasa hawa jamaa wanasema kama mungu aliheshimu hiyo siku akaitenga siku alipoumba dunia na mpaka akaiandikia amri enzi za musa na wakati ule wa kuokota mana hakushusha mana jumamosi, yesu nae akaja akaiheshimu mpaka kaburini.... inakuwaje wewe mwanadamu utafute ya kwako? Halafu unaendelea kusema unafuata yesu basi mfuate kweli kwa kila alichofanya na alichoagiza vinginevyo fata wanadamu waliobadilisha.

Ndio wasabato ni wakristo kabisa lakini huo msimamo wao unawafanya watofautiane na wakristo wengine wote

kalenda imeanza kutumika karne ipi?
 
JF member mwambie nduguyo kuna mamilioni ya waseja hapa duniani wanazurula tu
 
Usifungwe nira na asie amini.
Ndoa sio mihemko ndoa ni reasonable la sivyo haiwezi kudumu
 
Mi naona mwanamke hajakolea vilivyo la sivyo angeweza kufanya chini juu kuwashawishi wazazi. Njia nyingine wazazi wakikataa ni msichana kubeba mimba akazaa baadae wazazi watakubali. Hii ninaiongea kwa uzoefu wa watu wengi ambao wamekuwa na tatizo la utofauti wa dini sembuse dhehebu!!Mbali na hapo binti hayauko serious. Kama mi ni mwanaume huyu binti nitamuondoa kichwani mwangu maana atakuwa anampotezea kijana malengo yake. Si busara kijana abadili dini kulingana na utamaduni ulivyo.
 
Heshima kwenu wakuu,

Wazazi wa binti wanamtaka mdogo wangu abadili dini lasivyo hakuna mke, mdogo wangu nae hataki, mchumba wake nea anawaogopa wazazi hivyo hadi saivi hawajajua muafaka japo wanawasiliana kama
kawada ila kila mmoja anapata kigugumizi afanyenini.



Pole sana.
Iliwahi tokea kwetu. Nina makaka watatu, wa kwanza alimpenda Msabato, ikazuka mvutano kati yake na upande wa mke, kaka akabatizwa upya akawa Msabato wakafunga ndoa, maisha yanaendelea.
Hawa wawili mmoja alipata Msiloamu wa Nabii Eliya, hawataki kabisa muumini aolewe dhehebu jingine, kaka akamwambia mdada basi naona kanisa limekuamulia, natafuta wa dhehebu langu, Mdada akachekecha akamfata mume.

Wa tatu nae mlokole anasali sijui wanaita kwa Mch. Ndege. Akaweka misimamo,lazima uokoke uje kanisani kwetu, sijui imekatazwa kuolewa na asieokoma..... mara eeh...mimba!!! ikamlegeza misimamo akawa mdogo kama .. imAfanyeje??? Kanisani ndoa ikafungwa maisha yanaenda.

Sijaoma ugumu hapo.
 
Mkuu Wasabato sio Wakristo....

Jaribu hata kuingia weekpedia utaona wanataja Wakristo na Madhehebu yao halafu mwisho wanamalizia hivi; " Other sects that claims to be Christian"
Hapa wana-mention cult zifuatazo

Seventh day Adventist
Mormon
Jehova Witness
Christian Scintiest....

Muulize SoNotorious au Ntuzu wanajua kabisa

Nini tafsiri ya WakrIsto? Kama siyo Wakristo, tuambie wao wanaamini nini? Mafundisho yao yanasemaje

Kuhusu Cults: Wewe unajua sifa au tabia za Cults? Tuonyeshe katika tabia hizi za cults kama SDA wanazo.

Characteristics or features of a cult?

1.
Identifying Feature #1: Cults have a single powerful leader who becomes the cult's messiah.

The leader is a charismatic individual who focuses attention on himself and becomes more of a source for truth than God. It becomes increasingly difficult for cult members to separate what he says from what God says.

2. 2. Identifying Feature #2: The cult leader's words, his teachings, become absolute truth. They overshadow the teachings of the Bible.

3. Identifying Feature #3:Cults manipulate. Cults use pressure tactics and deception to recruit members, and they coerce members into submission, into staying. Satan uses pressure, coercion, and force.

4. Identifying Feature #4:Cults appeal to miracles as a sign of their "divine" credentials, especially when their teachings contradict Bible truth. They hope you'll close your eyes to the teaching of Scripture and just focus on the razzle dazzle of their religious performance.

5. Identifying Feature #5:Cults isolate. Cults isolate converts not only from the outside world but even from their families-a very dangerous thing. The cult leader wants to immerse you completely in the cult environment so the cult becomes your one source of information and affirmation.


Source: http://www.aup.edu.ph/Software/discoveries08/discoveries08_materials/Lesson13.pdf
 
hawez kosa mke kama niwake kapangiwa ata muoa tu lakin kama sivo hata abadil dhehebu hawez muoa so asubr muda u jaji
 
Dawa ya hao wazazi we mpe mimba huyo binti wenyewe watakuachia umuoe
 
yeyote afuataye yamhusuyo kristo na kuyazingatia ni mkristo huyo. Mimi siwezi kuyumbishwa na dini katika jambo lolote lile na siwezi kumyumbisha yeyote anihusuye sababu ya dini. ole wao wanaoshindwa kuutimiliza utu wao kwa sababu za kimapokeo au kikabila.
 
Back
Top Bottom