Gazaniga
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 1,051
- 361
Umenivunja mbavu zangu mimi
Sasa kweli mtu na akili timamu tena mtumishi anajiita catterpillar au Grader?
Umenivunja mbavu zangu mimi
Kwa nini. .. wasabato wapo poa sana especially life style yao
HAPANA...Wasabato ni viumbe wa ajabu sana hapa duniani..
Kwa nini. .. wasabato wapo poa sana especially life style yao
Kwa mujibu wa maelezo yako naona tofauti iko kwenye madhehebu na sio tatizo la dini.
Kwa uzoefu wangu; Ni kuwa mara nyingi iwapo umempata mwenza mtarajiwa anayetoka kwenye haya madhehebu yenye mitazamo na mirengo ya ki mambo leo yaani misimamo mikali ya kiroho au staili ya upako upako hivi (conservatives Pentecostal doctrine) wakiwemo Wasabato (Non traditional churches) basi hapo inakuwa kumbadilisha mtu dhehebu huwa ni heka heka kubwa.
Suluhu hapo ni 'busara ya kawaida' tu inayotakikana kutumika. Yaani wewe ambaye umetokea kwenye traditional churches like catholic or protestants (like aglican, lutheran type of churches) ukubali ku-convert dhehebu ili yaishe na malengo yatimie. Mbinu yenyewe ni hivi; kubali kubatizwa upya kwenye dhehebu la mwenza na harusi ifungwe kuridhisha watu kama wazazi na baada ya hapo unaweza kurejea dhehebu lako la zamani na maisha yenu yakaendelea.
Nyie ni dhehebu gani na shem ni dhehebu gani?kama kuna usabato involved hapo ni taabu.
Kama ni (Catholic+Lutheran) hilo si tatizo hata chembe ila kama kuna mambo yale ya Upako/catterpillar/Milima ya moto sijui siloam,Kakobe na mambo ya Grader au Sabato ni shiiidah.
wasabato wana misimamo utadhani wajahidina, hawaogopi kama wakiamua lao, nimesoma nao shule ikifika ijumaa jioni na jmosi usimpe kazi na ukimpa hafanyi, kazi yake muda huo ni kula tu, na walikuwa wanasimama kidete mpaka walimu wanakoma, chuoni vile vile,
Hili suala huwa lahitaji hekima na miongozo kabla ya watu wa mitazamo tofauti ya kiimani kuoana...
Jambo hili limekuwa likiwasumbua wachumba wengi na hata wengi wao wameishia kuachana tu...
Kitu cha muhimu na ndivyo ambavyo imekuwa ikielezwa katika Biblia ni kwamba mwanamke hupaswa kuacha mambo ya kwao, taratibu za kwao, maisha ya kwao na kuambatana na mumewe...
Mwanamke atayeweza kufanya hivyo huyo ndio huitwa mke...
Na wanaoana wao kwa wao na wanachoniudhi ni kuona sisi wakristo wengine ni wadhambi na wao ndio wako sawa.
wasabato wana misimamo utadhani wajahidina, hawaogopi kama wakiamua lao, nimesoma nao shule ikifika ijumaa jioni na jmosi usimpe kazi na ukimpa hafanyi, kazi yake muda huo ni kula tu, na walikuwa wanasimama kidete mpaka walimu wanakoma, chuoni vile vile,
hakuna mdhoefu wa mahusiano kila mtu ni mgeni na kila mtu anasolve tatizo lake kulingana na uzito uliouona kwahiyo ondoa fikra za wazo mmbadala hapa juu ya mahusiano ya wawiliHeshima kwenu wakuu,
Nimeona nilete humu, nikiamini kuwa kun watu wameona mengi.
Mimi nina mdogo wangu, alipata mchumba yapata miezi tisa sasa, Wote ni wakristo tofauti ni madhehebu. Kwamaelezo yao wapendana na wanajiandaa kufunga ndoa. Tatiza lilijtokeza wezi sasa ni pale ambapo binti alipo lifikisha kwa wazazi wake kuwa amepata mchumba na kutaja dheheb lake ikawa tatizo.
Wazazi wa binti wanamtaka mdogo wangu abadili dini lasivyo hakuna mke, mdogo wangu nae hataki, mchumba wake nea anawaogopa wazazi hivyo hadi saivi hawajajua muafaka japo wanawasiliana kama kawada ila kila mmoja anapata kigugumiz afanyenini,
Kwa wenye udhoefu ama mawazo mmbadala ebu sadieni hapa. wafanyeje??
wasabato wana misimamo utadhani wajahidina, hawaogopi kama wakiamua lao, nimesoma nao shule ikifika ijumaa jioni na jmosi usimpe kazi na ukimpa hafanyi, kazi yake muda huo ni kula tu, na walikuwa wanasimama kidete mpaka walimu wanakoma, chuoni vile vile,
Mkuu Wasabato sio Wakristo....
Jaribu hata kuingia weekpedia utaona wanataja Wakristo na Madhehebu yao halafu mwisho wanamalizia hivi; " Other sects that claims to be Christian"
Hapa wana-mention cult zifuatazo
Seventh day Adventist
Mormon
Jehova Witness
Christian Scintiest....
Muulize SoNotorious au Ntuzu wanajua kabisa
Huo upuuzi wao huwa wanafanyia shule za serikali labda..
Wasabato walifukuzwa shule za Kikatoliki na Chuo Cha SAUT kwa upuuzi huu huu...Walirudi kuomba msamaha huku wamepiga magoti....
Loyola High School wapo Wasabato na Wanapiga mitihani hadi Jumamosi na Jumapili wanaingia kanisani (siku aliyoifanya Bwana) kama kawaida
Sasa sio wakristo na sio waislam..wanaangukia wapi?