Mdogo wangu aliwahi kuniambia, asilimia kubwa ya wahitimu wa elimu ya juu wanaohudhuria "Graduation Ceremony" ni wale wenye GPA za chini. Is he right?

There is no true measure of human ability on this planet earth......human being has an enormous ability.
 
Dogo yupo sahihi 98%. Mara nyingi wenye GPA kubwa ni wale wanaasomea kijiji, hawa huwa hawana time na chochote duniani zaidi ya kukariri tu madesa. Hawana hobi na mara nyingi anti social. We unategemea kidukulilo au warumi apate first class🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom