Baada ya Harmorapa, Sasauka Chiburapa,Anafanana Kila Kitu na Diamond

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,805
watu bana

9787DAIMO.png

Mwezi Januari mwaka huu katika mitandao ya kijamii aliibuka msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) aitwaye Harmonize kiasi mashabiki walimbatiza jina la ‘Pacha wa Harmonize’ au Harmorapa. Mwanzoni mwa wiki hii ameibuka msanii mwingine anayefanana na Diamond Platnumz naye kupewa jina la Chibu Rapa.

Katika mitandao ya kijamii msanii kutoka WCB ‘Harmonize ‘ alimuanika na baadae kumtoa kijana huyo aliyefanana na Diamond huku mashabiki wakifunguka kwa kuachangia hoja na wengi walikubaliana na Harmonize kuwa ni kweli kijana huyo amefanana kwa muonekano na na Diamond Platnumz.

Aidha bado haijafahamika kama kijana huyo naye anafanya sanaa ya muziki au laa
The post Baada ya Harmorapa, Sasauka Chiburapa,Anafanana Kila Kitu na Diamond. appeared first on The Choice.
 
Huu mwaka umeanza kiaina yake
Sasa hawa wasanii wanataka kutoka kwa sababu tu wana fanana na kina diamond!!
 
Wanazngua mtu huwezi kutoka kimuziki kwa kigezo cha kufanana muonekano na msanii aliyeko kwenye chart.
tena mtu anaiga mavazi mpaka nywele hapo ndipo mtu hatoki kabisa
 
watu bana

View attachment 464333

Mwezi Januari mwaka huu katika mitandao ya kijamii aliibuka msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) aitwaye Harmonize kiasi mashabiki walimbatiza jina la ‘Pacha wa Harmonize’ au Harmorapa. Mwanzoni mwa wiki hii ameibuka msanii mwingine anayefanana na Diamond Platnumz naye kupewa jina la Chibu Rapa.

Katika mitandao ya kijamii msanii kutoka WCB ‘Harmonize ‘ alimuanika na baadae kumtoa kijana huyo aliyefanana na Diamond huku mashabiki wakifunguka kwa kuachangia hoja na wengi walikubaliana na Harmonize kuwa ni kweli kijana huyo amefanana kwa muonekano na na Diamond Platnumz.

Aidha bado haijafahamika kama kijana huyo naye anafanya sanaa ya muziki au laa
The post Baada ya Harmorapa, Sasauka Chiburapa,Anafanana Kila Kitu na Diamond. appeared first on The Choice.
ila kama nimemuona kwenye matangazo ya voda
 
Back
Top Bottom