Mdogo wa rihanna

boy mzuri

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
287
436
67c1ef6c0499f3bf9a9ede33b4aa56a0.jpg
. Hey guys mwenye kufahamu account ya Instagram ya huyu mdogo ake rihanna anisaidie hapa
 
Kuna ubaya gan labda hapo mkuu.... Mbona nyie kutwa nzima kumuongelea diamond " stop nonsense mkuu hujui kilichonisukuma mpaka kuanzisha thread bora, ukakaa kmya ningekuona wa maana zaid

Mkuu ungeweka kilichokusukuma ingekuwa rahisi watu kujitolea kukusaidia kuipata kama wangeona kuna uzito.

Anyway boy mzuri, kila la kheri.
 
Kumbe nimekosea kuunganisha pica... maana nilichohtaji sjakpata na wala skutarajia haya
 
Back
Top Bottom