Hili suala tulisikie tu jamani. mdogo angu kabisa yamemkuta. Ipo hivi; mdogo angu alikuwa na mpenzi wake aitwae ireen. walikorofishana mwezi juni mwaka 2018 wakaachana. Mwezi novemba mwaka 2018 mdogo angu katika pita pita zake town akakutana na Ireen, wakapeana tena mawasiliano. wakaanza kuchart mara wakarudisha penzi. kwa maelezo ya mdogo angu na Ireen kuthibitisha kuwa walikutana kimwili tarehe 3 Desemba 2018. Baada ya wiki tatu Ireen akamwambia mdogo angu kuwa mjamzito. dogo akamchukua hadi hospitali kupima, akathibitika ni kweli. Mwezi february Ireen akaanza Clinic, tarehe yake ya makisio ni 20 August 2019.
Ireen 1 July 2019 ucku wa saa 2 kajifungua mtoto wa kike, mwenye afya njema kabisa. Mdogo angu kapagawa hatari,mtoto si wake. familia tumemtaka awe mvumilivu kwa mwezi mmoja tu. vikao vya pande mbili vinategemea kuanza jpili hii.
Naomba mchango wa mawazo yenu wadau.
Dogo anataka kufungua kesi ya udanganyifu.