Mdhibiti CAG agundua ufisadi wa kutisha Jimboni kwa Spika Ndugai

Nao imeshindwa kuumaliza upinzani kwa kutumia mbinu zote kuanzia wasiojulikana,polisi,manunuzi, DPP,lipumba,mrema,kuzuia mikutano,bungelive,teuzi na Sasa nccr kama karantini ndogo nayo itabuma
Kuna vitu mnachanganya aidha kwa makusudi au kwa kuwanukuu vibaya. CCM haijawahi kusema itamaliza ufisadi, ilisema itamaliza Upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa kinachozungumzwa ni Ufisadi jimboni kwa Speaker na siyo credibility ya Source za Ufisadi huo. Msiwe mnapenda kuwaingiza walimu kwenye matatizo kuwa hawafundishi, wakt kwenye mitihani mmejibu maswali mliyotunga wenyewe!

Hoja haikusudii kumlinganisha CAG huyu na CAG yule. Ila imejikita kumwangazia bwn Workload Mafwimbo ule utashi wa kuzodoa wengine, anautoa wapi Kama kwake hali iko hivo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu bwana alimzodoa Sana Assad kumbe ana lake jipu.
 
Hayo hayawahusu na wagogo ndio mtaji wa chama chetu, wao wanahitaji T shirt na vilemba mengine sio kipaumbele.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeshajichanganya akili tayari, waliokula hela si CCM bali makandarasi ila CCM imelipa hela zote kama mkataba ulivyosema. Sasa baada ya ripoti kutoka ndipo CCM inaweza kudai hao makandarasi. Umeelewa hili? Sasa wacha kujipiga vidole kwa hasira.
 
Hujui kitu mzee. unadhani CCM ni wajinga wamlipe mkandarasi kibwege.hivi ukisikia hela zimeliwa unajua wamechota kwenye akaunt wakakimbia?unalipa mtu kimagumashi baadaye anakupa chako
 
View attachment 1413550View attachment 1413558

1. Mkandarasi amekula milioni 348 bila kufanya kazi

2. Mradi wa milioni 528 hautoi maji. Mkandarasi kasepa

Najiuliza nguvu anayotumia Spika kummaliza Tundu Lissu kwa nini haitumii kusimamia miradi huko kwake,au na yeye ana 10%?

Hali hii haikubaliki
Sijawah kuona umuhimu wa ripoti ya CAG,,,Kwa sababu hakuna hatua yeyote inayochukuliwa zaidi ya kusomwa tu alafu kila kitu kinaendelea Kama kawaida🙄🙄🙄🙄
 
Sijawah kuona umuhimu wa ripoti ya CAG,,,Kwa sababu hakuna hatua yeyote inayochukuliwa zaidi ya kusomwa tu alafu kila kitu kinaendelea Kama kawaida🙄🙄🙄🙄
iliposemwa bunge ni dhaifu hamkuelewa?CAG kazi yake sio kuwajibisha watu. yeye analipoti,bunge ma vyombo vya serikali vinachukua hatua
 
1586594159259.png
 
Umeshajichanganya akili tayari, waliokula hela si CCM bali makandarasi ila CCM imelipa hela zote kama mkataba ulivyosema. Sasa baada ya ripoti kutoka ndipo CCM inaweza kudai hao makandarasi. Umeelewa hili? Sasa wacha kujipiga vidole kwa hasira.
huo mkataba unasema umlipe mkandarasi kazi ambayo hakufanya? punguza mahaba
 
Back
Top Bottom