Mdhamini wa waasi wa ADF

Mdhamini wa waasi wa ADF

Nilivyosoma hapa waasi walifanya shambulio baya la kushtukiza maana waliweza hata chukua chakula maana waliweza wadhibiti wanajeshi wetu wakafanya watakavyo. Pia nimepoteza imani na MONUSCO wenyewe. Maana mbona wazungu hawapigwi hizo ambush. May be JWTZ wanasalitiwa. Halafu kuna mdau kaandika humu kwenye ambush zinapigwa wazungu wapo uwa wana retreat maana yake wanakua supplier kwa waasi maana wakiretreat waasi wanachukua chakula na silaha. My advice, damu iliyopotea inabidi wajutie hao waasi ikiwekana kupeleka kikosi cha kwenda kulipa kisasi haiwekani kupoteza gharama kuandaa askari wanaenda hujumiwa kizembe kiasi hicho. MONUSCO ni wasanii mbona hawaendi Syria, Iraq, Afghanistan, Somalia , Sudan na kwingineko hapo kuna wish tu Congo

sent by me
 
Mimi nna fikiri tofauti kidogo ..., na ninaingiwa na uwoga kidogo ..

Kwanza ninajiuliza swali la msingi kabisa, sielewi kwanini askari wetu wengi waliouawa ni Wazanzibari .. ?! Kama sikosei, ni askari 9 kati ya 14 waliouawa ni kutoka visiwani, sijui ni wangapi toja Pemba ama wangapi toka Unguja ...

La pili, katika mpangilio wa kijeshi, sidhani kama ni sahihi sana kuwalundika watu wa aina, kabila, dini moja katika kikosi kimoja ... Ni lazima kuna utaratibu fulani unafuatwa katika kuwapanga askari ili kuepuka ajali/makusudi/sabotage ya kuliumiza jeshi namna hii ..

Jambo hili la vifo vya wazanzibari askari vijana wengi namna hii ..., linatakiwa lipatiwe majibu na ma Jenerali wa JWTZ na sio UN peace force ....

Au wana JF tumeacha kufikiri siku hizi .... ?!

Can't we smell a rat in these killings ... ???!
Nilikuwa na ninawaza kama wewe. Kwa nini imetokea hivyoo?
1978 vita ya Amin kikosi kikubwa cha kwanza kupoteza uhai walikuwa kutoka upande wa pili.
Je,walizembea? Nani kiongozi wa hiyo platoon? Sijaona Lt kuuawa. Naona Cpl na Pte tu.
 
Wazungu wanawatumia Kagame na M7.

Bahati mbaya sana japo sina uhakika eti " Hao wanasesere wawili ndiyo marafiki zetu wakubwa"
Sawa kabisa.

The one who tell you about others, is the one who tell others about you.

Rafiki yetu mkubwa tuliyempa nafasi ya kutushauri ndiye huyo anayetumiwa na mataifa makubwa kutumaliza.
 
Kwa aliyesoma boarding school atanielewa nikisema kuwa kunatabia wanafunzi wanaosali dini moja kukaa pamoja bweni moja.
Nakumbuka katika course zangu zote za Weapon Training hii tabia ya wazenji kujitenga kuanzia mabweni hadi kupiga story za hapa na pale wanapenda wawe wao pekee yao ndiyo mambo yaende wakijitahidi sana wanajumuika na mtu kutoka bara lakini lazima awe muislam.
Ndiyo maana hata mashambulizi yalivyotokea walikutwa wengi wao wakiwa pamoja.
Kuna mtu nitakuwa nimemjibu hapa.
 
Sawa kabisa.

The one who tell you about others, is the one who tell others about you.

Rafiki yetu mkubwa tuliyempa nafasi ya kutushauri ndiye huyo anayetumiwa na mataifa makubwa kutumaliza.
Bahati mbaya sana ndugu yangu ni kua, hata Raisi wetu anawapenda sana hawa jamaa ...
Hawa ndio wanao m shape, soon East Africa will have 4 Dictators ..., na Hima Empire is around the corner.. !
 
Sawa kabisa.

The one who tell you about others, is the one who tell others about you.

Rafiki yetu mkubwa tuliyempa nafasi ya kutushauri ndiye huyo anayetumiwa na mataifa makubwa kutumaliza.

SK2016,

Mkuu,
Dr. JK, alikuwa anacheka cheka ila lilipokuwa linakuja swala la kitaifa na ,Tanzania yetu he real acted as a head of state, government and a commander in chief.

Lakini hii awamu huu urafiki tulioanzisha tunaweza tukavuna mabua tukiendelea kucheka na nyani.
Hii awamu, we are real missing a point somewhere. Our security organs must take inevitable actions and counter attack strategies should be at place each second of the chronometer!!
 
Bahati mbaya sana ndugu yangu ni kua, hata Raisi wetu anawapenda sana hawa jamaa ...
Hawa ndio wanao m shape, soon East Africa will have 4 Dictators ..., na Hima Empire is around the corner.. !

Menyainganyi,
Mkuu,
You are missing a point somewhere too.

No dictator or hima empire to be accomplished by involving Tanzania.

Tanzania its a very unique and dynamic country in Africa.

Acha Rwanda na Uganda wajifurahishe kwa sasa ila muda siyo mrefu tutafanya reshuffle ya hatari.
 
Kwa aliyesoma boarding school atanielewa nikisema kuwa kunatabia wanafunzi wanaosali dini moja kukaa pamoja bweni moja.
Nakumbuka katika course zangu zote za Weapon Training hii tabia ya wazenji kujitenga kuanzia mabweni hadi kupiga story za hapa na pale wanapenda wawe wao pekee yao ndiyo mambo yaende wakijitahidi sana wanajumuika na mtu kutoka bara lakini lazima awe muislam.
Ndiyo maana hata mashambulizi yalivyotokea walikutwa wengi wao wakiwa pamoja.
Kuna mtu nitakuwa nimemjibu hapa.
Mbona sababu ya kuuwawa Wazanzibar nimeshaijibu mkuu au hujaona uzi?
 
Habari zenu wakuu. Nimekuwa nikifatilia sana kuhusu hawa jamaa wanaojiita waasi wa ADF. Nimeshindwa kupata jibu ni nani anawafadhili kipesa na siraha. Kama Museveni ni adui wao, Rwanda ni adui wao, Congo ni adui wao na hata Tanzania ndo wametufanyia mbaya. Je, ni nani yuko nyuma yao? haiwezekani wakawa wana survive porini na wakati wamezungukwa na maadui kila kona. kuna mambo yaliyojificha na hatuyajui.
Ninachojua ni kwamba ni kundi la kigaidi la kiislam, kama kawaida
 
Nilivyosoma hapa waasi walifanya shambulio baya la kushtukiza maana waliweza hata chukua chakula maana waliweza wadhibiti wanajeshi wetu wakafanya watakavyo. Pia nimepoteza imani na MONUSCO wenyewe. Maana mbona wazungu hawapigwi hizo ambush. May be JWTZ wanasalitiwa. Halafu kuna mdau kaandika humu kwenye ambush zinapigwa wazungu wapo uwa wana retreat maana yake wanakua supplier kwa waasi maana wakiretreat waasi wanachukua chakula na silaha. My advice, damu iliyopotea inabidi wajutie hao waasi ikiwekana kupeleka kikosi cha kwenda kulipa kisasi haiwekani kupoteza gharama kuandaa askari wanaenda hujumiwa kizembe kiasi hicho. MONUSCO ni wasanii mbona hawaendi Syria, Iraq, Afghanistan, Somalia , Sudan na kwingineko hapo kuna wish tu Congo

sent by me

dickchiller ,
Mkuu,
Wazungu na Mr. Kagame a.k.a Slim and M7 wana ila DR Congo dunia nzima inatambua hilo na hakuna swali maana yanayotendeka Congo nyako wazi kabisa.

Mfano, Rwanda inauza madini unadhania madini Rwanda na serikali ya Mr. Slim wanayouza wanayachota kwenye kale kaziwa kao kadogo kama mkojo wa mtoto!?

Sasa, sisi JWTZ wanafanya kazi kwa uzalendo na imani ya kuwakomboa wakongo ila kumbe hao vibaraka wa wazungu (Slim na M7) na wazungu wenyewe wanafurahia yanayoendelea.

Dawa pale ni kupunguza idadi ya vijana watu kutoka huko DR Congo na wanaobakia wachache wawe wa kukusanya MI na kujiweka vizuri ndani na nje ya mipaka yetu.

Mfano, Rwanda na Uganda wamepungunza wanajeshi wao kutoka kule Somalia kwa visingizio fulani fulani ila ukweli ni kwamba waliwapeleka somalia kujifunza mbinu fulani (MI programs kutoka majeshi yaliyoko Somalia chini ya mwamvuli wa UN) kisha wawapeleke tena DR Congo kuendeleza hujuma zao huko.

Maana, mbinu nyingi za majeshi hapo DR Congo tayari nyingi wanazielewa na wanawapenyezea waasi ili wawatengue vijana wetu.

Ulichosema kuhusu, wazungu ku-retreat ni mbinu ya kuwapa waasi vifaa na mahitaji mengine na ni kweli wanafanya hivyo.
Mfano, mchezo huo ulifanyika sana nchini Libya ,,
Wazungu ,,, USA na NATO walipeleka Silaha Libya wazitumie wao ila wakazipitishia/wakazisafirishia njia au barabara ambazo waasi walikuwa wamezishikiria kwa wakati ule zote zikachukuliwa na hawakufanya jitihada yoyote ile ya kuzikomboa.

Wazungu wanatumia iyo hiyo mbinu ya Ku-retreat silaha zote zikachukuliwa wao wakaondoka maeneo hayo wakaenda eneo jingine kabisa. Kilichofatia kila mtu anakielewa hadi kesho hakuna amani Libya.

Adui wa DR Congo ni watu wanne ambao ni:-
1. Kabila aliyeshiriki kumuua baba yake mzazi
2. Wazungu wote (Ulaya - EU na USA)
3.Mr. Slim /Kagame
4. M7.
Hivyo, nje ya hao watu wanne usitafute mchawi mwingine wa DR Congo.

Dawa na solution ni Kupunguza vijana wetu pale DR Congo ili wabakie wachache kimkakati basi.
 
Menyainganyi,
Mkuu,
You are missing a point somewhere too.

No dictator or hima empire to be accomplished by involving Tanzania.

Tanzania its a very unique and dynamic country in Africa.

Acha Rwanda na Uganda wajifurahishe kwa sasa ila muda siyo mrefu tutafanya reshuffle ya hatari.
Wasiwasi ni akili Poise. ., our 2 neighbouring countries have planned and executed an attack to our UN/Tz peace force ...., tena mchana kweupeee ... Na hii ni mara ya tatu sasa ...

Our number 1 did not utter a word about the killings of our 14 peace corps, neither he did not show up at their final last respect or funeral ceremony ...

Tusipuuze mambo haya . . , kwa watanzania tulivyo gawanyika, kutawaliwa ni rahisi sana ... !
 
Ninachojua ni kwamba ni kundi la kigaidi la kiislam, kama kawaida
Hacha mapokeo ya kidini yasituathiri . Wakona Cameron na Obama wanadini hizi hizi lakini wanatetea ushoga na ndoa as jinsia moja. Dini zinaathiri mifumo yetu ya kufikiri kwa namna moja au nyingine utasikia wameleta msaada jaw nini wasilite misaada ya kutukomboa kifikra unaweza lijua hili kwa kulinganisha ada ya shule au huduma za hospitali za kidini . Mnachangia kujenga lakini bado wachache ndio wanamudu gharama zao. Fikiria makanisa na misikiti waseme tununue matreka hili kusaidia wakulima ambao ndio asilimia kubwa huko mikoani nadhani ndani miaka miwili chakula kisingekua na sehemu ya kuweka. Dini ni kuwanayo makini sana maana sisi tunaamini kwenye miujiza zaidi wenzetu wapo busy na kazi . Unaweza kuta kuta mtu anashinda kwenye nyumba ya ibada halafu anategemea miujiza kafanikiwa. Tuwe makini sana na hizi imani sijasema tuziache

sent by me
 
Wasiwasi ni akili Poise. ., our 2 neighbouring countries have planned and executed an attack to our UN/Tz peace force ...., tena mchana kweupeee ... Na hii ni mara ya tatu sasa ...

Our number 1 did not utter a word about the killings of our 14 peace corps, neither he did not show up at their final last respect or funeral ceremony ...

Tusipuuze mambo haya . . , kwa watanzania tulivyo gawanyika, kutawaliwa ni rahisi sana ... !

Menyainganyi ,
Mkuu,
Sina shida na no.1 kuwa kimya au kutohudhuria .

Tatizo ni sisi kujifanya kuwa hatujui game ya DR Congo na kuachia vijana wetu wafe.

Hapa jambo la msingi ni kufanya maamuzi magumu .

Soma comment yangu hapo namba # 93 utapata picha kidogo y ninacho kiandika.
 
Tanzania Military ina uzoefu mkubwa sana wa siasa za ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati..

Siamini kabisa kua our Military Intelligence Unit haijui michezo hii ya askari wetu kushambuliwa kila mara chini ya UN peace force ..
Na kama wanajua, ni kwa nini wanawauza vijana wetu hivi ..., hii ni bahati mbaya kweli au ni mipango ... ?!
Kama ni mipango, ni akina nani ndani ya Tz/JWTZ/UN wanahusika na mipango hii ... ?!
 
Nchi na vijana wetu haviuzwi bali inafata mikataba na makubaliano ya kimataifa tuliyoingia na ni nchi nyingi ziko kwenye mikataba hiyo.

Ila tatizo ni EU na USA kutumika kuivuruga amani ya DR Congo kupitia mgongo wa UN ambapo sisi jeshi letu lina nia ya dhati ya kuondoa huo uozo ila tunaofanya nao kazi wana yao agenda ya siri.

Dawa ni kuwapungunza vijana wetu huko DR Congo kwa sababu, idadi hulazimishwi ya kupeleka kulinda amani.
 
Hacha mapokeo ya kidini yasituathiri . Wakona Cameron na Obama wanadini hizi hizi lakini wanatetea ushoga na ndoa as jinsia moja. Dini zinaathiri mifumo yetu ya kufikiri kwa namna moja au nyingine utasikia wameleta msaada jaw nini wasilite misaada ya kutukomboa kifikra unaweza lijua hili kwa kulinganisha ada ya shule au huduma za hospitali za kidini . Mnachangia kujenga lakini bado wachache ndio wanamudu gharama zao. Fikiria makanisa na misikiti waseme tununue matreka hili kusaidia wakulima ambao ndio asilimia kubwa huko mikoani nadhani ndani miaka miwili chakula kisingekua na sehemu ya kuweka. Dini ni kuwanayo makini sana maana sisi tunaamini kwenye miujiza zaidi wenzetu wapo busy na kazi . Unaweza kuta kuta mtu anashinda kwenye nyumba ya ibada halafu anategemea miujiza kafanikiwa. Tuwe makini sana na hizi imani sijasema tuziache

sent by me
Mkuu huo ndio ukweli.
ADF ni waasi wa kiislam na tayari wana mahusiano na Al Shabab na Boko Haram.
Soma hii kutoka wikipedia:
"The ADF was formed by puritanical Muslim Ugandans of the Tablighi Jamaat group who merged with the remnants of another rebel group, the National Army for the Liberation of Uganda (NALU)"
Yaani HII DINI YA KIISLAM NASEMA NI BALAA KILA UENDAKO NI WAO TU!
 
Tukitaka kushinda Kongo tujiulize Wengine wsnatafuta nini kule hapo ndo tuta amua
 
Poise ni wakati sasa wa call a spade, spade and not big spoon. Kusema kwamba inchi inafata mikataba na makubaiano ya kimataifa katika kulinda amani ya maziwa makuu ni kujidanganya kaka Poise. Mimi naamini kabisa kaka kuna michezo inaendelea hapa ambayo kwa sisi watanzania inatugharimu sana. Mimi sibishani kabisa na uwezo aliokuwa nao JK katika Diplomasia na uzalaendo kwa nchi yake, ni mwanajeshi yule anajua michezo ya Great lakes, ingawa hata kipindi chake wanajeshi kadhaa wa watz waiuwawa pia. JK uzoefu wa kijeshi + Diplomasia aliweza kula sahani moja na wakina Mr. Slim. Contrary na huyu tulienae sasa Diplomatic + Military experience - kutopokea ushauri na kuwa too much know. Unampa M7 mikataba minono, unampa Mr. Slim uchumi. Mpaka kuja kuamka imeshatugharimu sana
 
Back
Top Bottom