Mdhamini wa waasi wa ADF

Mdhamini wa waasi wa ADF

Kagame kamuua Mtikila
Kagame kamuua Mwl Mwakyusa PROF
Kagame anaendelea kuwauawa askari wetu

Maghu kuendelea kumkumbati Kagame a.k.a slim thug inatufanya tuhoji uraia wake Kama kweli ni mtanzania au mzamiaji.
 
Tanzania Military ina uzoefu mkubwa sana wa siasa za ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati..

Siamini kabisa kua our Military Intelligence Unit haijui michezo hii ya askari wetu kushambuliwa kila mara chini ya UN peace force ..
Na kama wanajua, ni kwa nini wanawauza vijana wetu hivi ..., hii ni bahati mbaya kweli au ni mipango ... ?!
Kama ni mipango, ni akina nani ndani ya Tz/JWTZ/UN wanahusika na mipango hii ... ?!
Pesa Pesa babaaa viongozi wa jeshi wananufaika na UN hadi kushindwa kutoa maamuzi sahii
 
Mkuu [HASHTAG]#bandamo[/HASHTAG], unaweza kunielewesha zaidi? Walikufa 72 na haikuonekana maiti hata moja! Hiyo 72 imepatikanaje kama haikuonekana maiti hata moja?
Waleta habari ndivyo walivyo ileta masikio hupokea chochote kiingiacho
 
Ukweli mtupu kagame and mseven should be suspected totally on this due to their former behavior they did to Tanzania during JK including planning to construct their rail.
So sad our Hero fighters.
Nashangaa mkuu wetu anakuwa na urafiki na mtu kama Kagame,,, Kagame ndio ameuua askari wetu kupitia kikundi chake,, ***** zao washukuru Kikwete hayupo Mamlakani now,,tungewanyoa kwa chupa,, askari kumi na Tano wengi sana kupotea aisee
 
Mkuu huo ndio ukweli.
ADF ni waasi wa kiislam na tayari wana mahusiano na Al Shabab na Boko Haram.
Soma hii kutoka wikipedia:
"The ADF was formed by puritanical Muslim Ugandans of the Tablighi Jamaat group who merged with the remnants of another rebel group, the National Army for the Liberation of Uganda (NALU)"
Yaani HII DINI YA KIISLAM NASEMA NI BALAA KILA UENDAKO NI WAO TU!
Cicero. . ,

Si sawa kuwalaumu waislamu tuu bila kuujua ukweli . .

Tujiulize, jee .., hawa ADF ambao ni rebels wa kiislamu, wanapambana na Wakristo, au wanataka regime change in Uganda .. ?!
Mu7 is a Dictator, and he is modeling other young EA Presidents to follow the suit .. !

Kusema ukweli, ni rahisi zaidi kuwaelimisha na kuwakusanya waislamu popote ktk kutafuta HAKI kuliko kuwaamsha wakristo ... !

Mimi ni mkristo, lakini nakerwa sana na uzubaifu wetu ktk kukemea uovu, kusimamia ukweli, na haki za watu ...
 
Hakuna mwanajeshi hata mmoja anaetoka nchi maskini na kujiongeza kama unavyofikiria.
Na ni makosa kwa sheria za UN kuondoka na kitu kilichopo Congo (Madini, mafuta nk) labda vitenge.

Hakuna mda wanaoupata wa kwenda kujiongeza hata kidogo, wakifika wanakua kama wafungwa makambini. Kutoka kwao nje watatoka na convoy na si kwenda kuzurura au kutafuta unachokifikiria.

Congo ni kweli imejaa mali lakini sio rahisi kupata, kuchimba kwenyewe mchanga kuna mlolongo mzima mpaka watoe eneo kwa maana wanaona kama wanataka kuibiwa mali zao.

Watanzania wamekua target sana kwa sababu asilimia kubwa sana ya waasi hawampendi Kabila na wanataka aondoke madarakani.
Sasa basi, mawazo yao yanawapelekea kwamba JWTZ ndo wanaempa kiburi na kuendelea kutawala.

Kuna majeshi yanaenda mission na kuna majeshi yanaenda kibiashara. Wahindi toka enzi na enzi wapo Congo na wameshafanya kama ndo mji wao kwa ajili ya biashara. Hao hawapo kimisheni.

Tukija suala la nani anawapa msaada ADF jibu kubwa ni wazungu. Na kama kuna mtu humu alishawahi kufika kwenye ngome yao utakuta kuna uwanja wa kufulia chopper, jiulize inaenda kufanya nini.

Mgao wa juisi wanazopata jeshi la UN ndo hizo hizo wanazokua nazo wao. Pia kuna habari baadhi ya wafanyakazi wa Munosco wanazivujisha. Silaha kubwa zikiingia na kutoka wanajua.

Kuna mizinga ilisafirishwa kutoka Congo to Tanzania pia walijua.
Hata hivyo sio wazungu tu wanaofurahia vita kuendelea. Wa Congo wenyewe wanayafurahia hayo ambao wameajiriwa na UN.
Na wao pia wanawachukia JWTZ.
Maana wanajua wao wanaweza kimaliza vita, na vikiisha wao watakula wapi???
Umeongea ukweĺi mtupu,,,ila mbona hujamgusia Kagame au M7,,,inamaana wao hawahusiki na ilo kundi
 
Mfaransa ndie mvurugaji no 1ingawa kina kagame wamo pia

Pierreeppah ,
Mkuu
Tatizo ni EU (mfaransa ni member wa EU),USA wao wanapitia mgongo wa UN.

Kabila alishiriki kumuua baba yake mzazi .

Mr. Slim na Babu M7 ni wezi wanawasaidia EU na USA kuitesa DR Congo.

Sisi tumewekwa kati tu bila kuelewa kuwa tunawasaka waasi porini ila wao hao jamaa wakiwa pamoja wanagonga glass na kutucheki tunavyorudisha majeneza home kwa huzuni.

Any way, we need to reevaluate our decisions in international forums and diplomacy.
 
Tukitaka kushinda Kongo tujiulize Wengine wsnatafuta nini kule hapo ndo tuta amua

lutataza ,

Hicho ndiyo hatutaki kuuliza au kuulizwa na hapo ndipo tumekosea.

Ila ukweli unafahamika mfano, Angola alikata ardhi kutoka DR Congo zamani hizo.
Sasa leo hii, hao Mr.Slim na M7 wameshindwa kukata ardhi wameamua kuchafua huko wakisaidiwa na EU na USA kupitia mgongo wa UN.

Solution ni kupunguza vijana wetu basi.
 
Mungu awape pumziko jema mashujaa wetu ila ukitaka kumsaka adui anza mlagoni kwako.
 
Cicero. . ,

Si sawa kuwalaumu waislamu tuu bila kuujua ukweli . .

Tujiulize, jee .., hawa ADF ambao ni rebels wa kiislamu, wanapambana na Wakristo, au wanataka regime change in Uganda .. ?!
Mu7 is a Dictator, and he is modeling other young EA Presidents to follow the suit .. !

Kusema ukweli, ni rahisi zaidi kuwaelimisha na kuwakusanya waislamu popote ktk kutafuta HAKI kuliko kuwaamsha wakristo ... !

Mimi ni mkristo, lakini nakerwa sana na uzubaifu wetu ktk kukemea uovu, kusimamia ukweli, na haki za watu ...
Violence is not the answer. Ona sasa wameua wanajeshi wasio na hatia. Kuna namna nyingi za kuuamsha umma. Hawa ADF ndo Boko Haram wa kesho; wanaanzaga kama kikundi cha kupigania haki....then itikadi kali za kiislam zinaingizwa and wanapotoka. Unataka kuniambia Boko Haram au ISIS ni wapigania haki? Endelea kujidanganya hao ni watu wanampigania mungu wao na dini yao (jihad) wanafikiri kuua watu wasio amini dini zao kutawapeleka mbinguni!
 
Back
Top Bottom