Mdee: Sitishwi na mbwa ninaowafuga

Mbowe hawezi kumfundisha mtu chochote chini ya hili jua. Labda kuiba
Mbowe ni form six failure
 
Labda amesahau kuwa Kada wao Mzee Ngombale alishambuliwa na Mbwa anaowafuga.
 
Mbowe hawezi kumfundisha mtu chochote chini ya hili jua. Labda kuiba
Mbowe ni form six failure
Angekua failure mngekubali kelele zake za Katiba mpya?? Mngemuita meza moja?? Mbona hamjamuita Professor Lipumba au Mbatia kwa meza??
 
Mtu anaeeuza nafsi yake sababu ya pesa ni rahisi kuuza utu wake ksbb ya pesa. Nyerere aliwaita malaya wa kisiasa
 
Kamanda zungusha ngumi mbili tatu hewani basi kusindikiza hili andiko lako

Pipopooz!
 
Binafsi hii kesi,irekebishwe irudi mahakamani waende wakabishane kwa hoja,hatimae mwenye haki apate haki yake
Wakina Halima ni kama wamekosa support ya jamii,wakionekana kama wachumia tumbo,waliokosa muelekeo,wenye hofu ya maisha kwamba wataishi vipi wakikosa posho za kibunge.
Kumbe usikute haipo ivyo,mahakama ikiamua itajulikana ukweli upo wapi...na sio kuiprolong
Wakina halima kama dada zetu,mama zetu wanaopambania haki zao na kulipigania taifa kwa michango wanayotoa bungeni,kama jamii tungependa kuona wanawake wengi wapo hivyo,katika taifa kama hili ambapo idadi ya wanawake ni wengi lakini katika nafasi za uongozi wapo wachache lakini pia wanaopigania haki zao pia wapo wachache.
So taifa kupata watu kama wakina mdee ni hatua nzuri tusi wakatishe tamaa,warudi mahakamani wakapambanie haki yao,kama kweli haki ipo upande wao ipatikane na jamii ifahamu,kama haipo basi ionekane haipo
 
Angekua failure mngekubali kelele zake za Katiba mpya?? Mngemuita meza moja?? Mbona hamjamuita Professor Lipumba au Mbatia kwa meza??
Lipumba hajaitwa kuzungumza na raisi?
Mbowe kuitwa haina maana ana akili, raisi ni wa watu wote hadi wendawazimu Kama nyie
 
Imesharudi
 
Hiyo kauli ya mbwa aliowafuga ataikumbuka tu huko mbeleni!
 
Ukifukuzwa chama unatoka. Akitaka ubunge kuna njia mbili zingine, either amia chama kingine au anzisha chama chako, also you can be the boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…