Duh! JF imeingiliwa. Huyu hapa kaandika nini cha maana? Kwake, mtu kusema sitishiwi na mbwa, anaona tayari ni habari. Hopeless kabisa.Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.
Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.
Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.
Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?
Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.
Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo
#kazi inaendelea#
View attachment 2270753
Maneno yako ni ya kuwadhalilisha wanawake. Unamaanisha nini unaposema, 'mnapambana na wanawake'? Wanawake siyo watu kama walivyo wanaume? Wanawake hawana akili kama walivyo wanaume? Wanawake hawawezi kuwa waovu, sawa walivyo wanaume?Halima na wenzake wamekuwa wanawake mashujaa hata kama watapoteza haki zao jasho na mchango mkubwa walio toa ndani ya chadema,ipo siku ukweli utajukika
Chadema mnapambana na wanawake au hamna kazi ya kufanya?
Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.
Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.
Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.
Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?
Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.
Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo
#kazi inaendelea#
View attachment 2270753
Mdee ana nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti ccm? Makubwa!Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.
Mkuu hivi huyu Mh. Upo wapi siku hizo?Ndugai ndio amesababisha yote haya kwa kutokuchanganya akili ya kuambiwa na ile ya kwake.
Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.
Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.
Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.
Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?
Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.
Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo
#kazi inaendelea#
View attachment 2270753
Ktk hili tusubiri MARIDHIANO au MAANDAMANO?Mashujaa wa wapi walikuwa wanabebwa na serikali tu Sasa wenyewe wamejichanganya na issue ya kikokotoo serikali imewamwaga
unaacha kuhangaikia wananchi wa Kisarawe unakuja kuita watu mbwaTulia wewe hatutishwi na mbwa tunaowafuga
Tunapambana hata na kuku na ndiyo shuhuli tuliyoichagua usitufundishe kazi.Halima na wenzake wamekuwa wanawake mashujaa hata kama watapoteza haki zao jasho na mchango mkubwa walio toa ndani ya chadema,ipo siku ukweli utajukika
Chadema mnapambana na wanawake au hamna kazi ya kufanya?
ccm ilipomfuta uanachama Sofia Simba je alikuwa mwanaume?Halima na wenzake wamekuwa wanawake mashujaa hata kama watapoteza haki zao jasho na mchango mkubwa walio toa ndani ya chadema,ipo siku ukweli utajukika
Chadema mnapambana na wanawake au hamna kazi ya kufanya?
Ccm ni sawa na ukoma ndg yanguMchawi bhana! kwasababu leo yupo ccm ndiyo amekuwa wamaana ila alivyokuwa kule chadema ulimuona mgawa nyapu.
Mkuu, rangi yako huwa inachanganya sana!Covid 19 ni manambazj wa kodi za Wananchi
Binafsi, nimeshindwa kukutambua kuwa, wewe ni namba ngapi kwenye hizo namba, kati ya 1 mpaka hiyo namba ya mwisho 19 (covid)Tulia wewe hatutishwi na mbwa tunaowafuga