Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,761
- 2,311
Safi sana uo mlo
"Kharam" kwako.Kharam
Achana na huyo kuna mmoja alikua anafuturu mdudu kwenye ule mwezi! Mpishi alinipa hiyo story nikabisha ilibidi nishu hudie mwenyewesiku moja niko kijiwe kimoja, nikasikia '... Hussein umesema ya kukaanga au roast?'
nikajisemea kweli maendeleo haya chama
life is good bro. ni vile utakavyo kuishiAchana na huyo kuna mmoja alikua anafuturu mdudu kwenye ule mwezi! Mpishi alinipa hiyo story nikabisha ilibidi nishu hudie mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Grilled Pork is just phenomenon. Wine pembeni kidogo: I wont spoil your happiness......Ya kuoka bwana ni hatari kabisa