Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Nakumbuka miaka ya nyuma nikiwa pale mbeya MAMA JOHN kuna vibanda walikua wanakaanga hii kitu kiustadi sana...ngoma inakaushwa vema..ndizi inaminywa vizuri inakauka fresh...kakibanda kanamoshi ndani ila unaemjoy sana huku machozi ya kikulenga kwaajili ya moshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…