Mdau kakutana na picha za wife mtandaoni!

Juzi juzi niliitwa kuamua kesi ya mtu na mkewe (married for about 2 Years), kuna mtu katundika picha kwenye fb ya mkewe huyo kijana aliyeniita kusuluhisha, moja ikionesha mkewe akiwa amekumbatiana kimahaba ns huyokijna aliyeziweka fb na nyingine ikionesha wako kwenye kiti cha "lovers nest" wakipembea. Na picha nikaoneshwa na kijana alizi-print kama ushahidi.

Kusema kweli mimi nilipoziona picha nikaona hizo ni picha za wapendanao, si bure.

Kumuuliza yule mwanamke akasema ni kweli picha zake na ni kweli wamepiga na huyo kijana hivi karibuniki lakini hana uhusiano nae wowote wa kimapenzi ila wali-pose tu kwa picha kwa kuwa ni marafiki tangu wadogo na mumewe anajuwa urafiki wao tangu zamani (kabla hajaolewa nae).

Wewe ungeamua vipi? kabla sijawaeleza niliamuwa vipi hilo saga.

Ni waislaam?!
 
Juzi juzi niliitwa kuamua kesi ya mtu na mkewe (married for about 2 Years), kuna mtu katundika picha kwenye fb ya mkewe huyo kijana aliyeniita kusuluhisha, moja ikionesha mkewe akiwa amekumbatiana kimahaba na huyo kijana aliyeziweka fb na nyingine ikionesha wako kwenye kiti cha "lovers nest" wakipembea. Na picha nikaoneshwa na kijana alizi-print kama ushahidi.

ningeamuru wachapwe viboko hadharani halafu waendelee na maisha kama kawaida

Ndiyo maana wanaume tunapenda kuoa wasichana wenyebikra au niliye mtoa mwenyewe
 
Mmomonyoko wa maadili kwa kweli inapitiliza sasa, ulimbukeni kitu kibaya sana
 
Back
Top Bottom