Mdau kaachwa na mpenzi wake, anaomba ushauri

Kwa dunia hii iliyojaa mizimu watu! We subiri tu muda si muda mizimu inacheza za hisia zako za mahaba..[emoji4]
Si naiita mizimu inampendesha kilazima[emoji1787]
 
Kuna mwingine nimemsoma jana naye ni kilio eti amemiss mapenzi ya nainai[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Humu ndani kuna vibweka acha kabisa.

Halafu nimekununia[emoji57]
 
Tena wewe hata hiyo aisee hatutaweka tutaweka vinukta tu ... Nikijitahidi sana nitaongeza neno NA BADO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wengine sisi waziwanda wa Mungu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Humu ndani kuna vibweka acha kabisa.

Halafu nimekununia[emoji57]
Humu ni balaa...
Hebu subiri kwanza? Umeninunia kwa habari ya nini jamani? Mwezi wenyewe huu kama unavyouona?
 
Si naiita mizimu inampendesha kilazima[emoji1787]
Mizimu yako hiyo unayoziraga nayo ni mizimu sasa! Mizimu inaomba hadi bagia!.. mizimu gani inakula ubuyu inatema na mbegu..?
 
Humu ni balaa...
Hebu subiri kwanza? Umeninunia kwa habari ya nini jamani? Mwezi wenyewe huu kama unavyouona?
Aaah usiusingizie mwezi maana nina hasira hapa na tozo.

Si nilikumiss, sijui ulipotelea wapi[emoji2297][emoji2297]
 
Mizimu yako hiyo unayoziraga nayo ni mizimu sasa! Mizimu inaomba hadi bagia!.. mizimu gani inakula ubuyu inatema na mbegu..?
Si ndio maana hayanikuti[emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wengine sisi waziwanda wa Mungu.
Kama ni mungu huyu wa tz pole maana keshakusogeza kwa watoto wake anaowaita wana na mwana nipo hapa..😂
 
Sitegemei mwanaume anaweza kuomba ushauri kwenye hili
 
Kama ni mungu huyu wa tz pole maana keshakusogeza kwa watoto wake anaowaita wana na mwana nipo hapa..[emoji23]
Mwana wewe inaonekana una undugu na matukio, hivyo nitajikuta tu nakupiga tukio bila kupenda[emoji1787]
 
Aaah usiusingizie mwezi maana nina hasira hapa na tozo.

Si nilikumiss, sijui ulipotelea wapi[emoji2297][emoji2297]
Tozo kama tozo... haki nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23]
Nipotelee wapi jamani.. wewe ndiyo umepotea.. naambiwa unafanya ziara za Mikoani ni balaa[emoji23][emoji23]
Na nilivyokumiss siwezi hata kueleza.. Naomba zawadi ya Sikukuu basi
 
"Ziara za mikoani", daah na kweli hizi ni ziara walah[emoji2297][emoji2297]
Twende Iringa.

Zawadi tu umepata, sema kingine.
 
Mwana wewe inaonekana una undugu na matukio, hivyo nitajikuta tu nakupiga tukio bila kupenda[emoji1787]
Huwezi jaribu hii chata uone navyokupiga kwata..😀
 
"Ziara za mikoani", daah na kweli hizi ni ziara walah[emoji2297][emoji2297]
Twende Iringa.

Zawadi tu umepata, sema kingine.
[emoji126][emoji126][emoji126]
Sasa nikutumie Acc. NO. Au Nisubiri kupambana na Makato?
Iringa lini tena? Maana Mdogo wangu wewe[emoji114]
 
Unakaroho kadogo wanajua wakipepesa tu chali tunaimba alitwaa alitwaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana, natoa sana sadaka hivyo nalipwa mema.
 
[emoji126][emoji126][emoji126]
Sasa nikutumie Acc. NO. Au Nisubiri kupambana na Makato?
Iringa lini tena? Maana Mdogo wangu wewe[emoji114]
Njoo uchukue dada, au umesahau tozo[emoji1787][emoji1787]

Yaani acha tu! Da gama huyu hapa[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Back
Top Bottom