Mdau Anataka Kuanzisha TV - Iwe na Vipindi Gani?

Vipindi vya wanawake (kina mama wa nyumbani na hata maofisini)

.Mafunzo ya biashara za kila aina(ndogo na kubwa)
.Mapishi
.Utunzaji/Uanzilishi wa mashamba au bustani za mboga na matunda
.Sheria zinazoweza kulinda au kuwasaidia wanawake
.Elimu ya afya
.Tamthilia na maigizo

Vipindi vya wanaume wenye PhD na wasio nazo(kazi kwako kuchambua)

.Siasa
.Michezo....mpira zaidi
.Music...zilipendwa na dini

Hapa nimeshindwa kupata zaidi cz watu wangu wa karibu wanofit kwenye hii group ni watu wa News, Mpira na Movie.Mwenye kuweza aongezee

Vipindi vya vijana(girls and boys)

.Music
.Mitindo na maswala ya urembo
.Maigizo na tamthilia
.Michezo
.Maswala ya biashara

Vipindi vya watoto

.Katuni
.Vichekesho
.Michezo
.Vipindi vihusuvyo taaluma
n.k

Vipindi vya familia nzima

.Movies will attract a lot of audiance
.Music na vipindi vya dini

Sina zaidi kwa sasa....nikipata mawazo mengine ntaongeza!
 


Kamanda tuko pamoja Mkuu!

Jamaa alianza preliminary study toka 2006 akishirikiana na kampuni moja ya Denmark ambao walikuja hapa Bongo. Na sasa anataka afanye final study kwa kuwa muda umepita sana.

Asante sana kwa mawzo mazuri Mkuu, yote yatazingatiwa.
 

Mkuu LilSun;

Asante sana kwa mawazo na mwongozo wako, Tuko pamoja na yote yatazingatiwa.
 

cha msingi hiyo TV ifike mpk NDADA na si kuishi magomeni
 
na kwa sisiwanga tusiopata usingizi wasituwekee mamusic usiku kucha maan mashetani wanzidi kutushangilia watuwekee vipindi vyeny kuvutia kama vya dini na documentary au waweke history chanel
 
Allien,
Mimi ninapoona hilo Avantar lako nashindwa hata kuchangia kwenye maada zako. It is too demonic. Can't you change it?
 
Allien,
Mimi ninapoona hilo Avantar lako nashindwa hata kuchangia kwenye maada zako. It is too demonic. Can't you change it?


Sawa Mkuu;

Kufuatia mani yako na wadau wengine, naomba niibadilishe. Hiyo hapo vipi?

Kumbuka mimi bado ni Alien.
 
Kuwe na kipindi cha ujasiriamali, mimi na wenzangu tuko tayari kutoa support zozote kuwezesha kipindi hiki kutoa elimu ya ujasiriamali bure
kwa umma wa watanzania.
Kwa ufupi tunao wataalam wa mambo ya ujasiriamali na wako tayari kutoa elimu bure kwa umma.

WAZEE WA KUCHOMA NDIZI
 


Du! Mkuu, umeniacha hoi sana.

Tuko pamoja Wazee wa Kuchoma Ndizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…