Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
Sasa mkuu wewe unayekaa kwenye screen ya computer kutumia JF na yule anaye angalia t.v. kujihabarisha mna tofauti gani?
Ndio uwanafalsafa wa Ndio Tulivyo. Unashindwa kutambua kuwa kuangalia TV ni passive activity kwa sababu unachambuliwa kila kitu.
Habari zote zilizopo JF ni za kusoma. Hivyo ubongo unakuwa na activities nyingi za kusoma, ku-filter pumba, kujadili na mambo mengi huyafanyi ukiwa unaangalia TV.
Na kwa sehemu kubwa TV inaangaliwa kwa masaa mengi na masikini.